Recent content by Mtu Mweusi I

  1. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Wanadhani wakatoliki wanapokosoa bandari wanatumia kigezo cha dini, nilitegemea na mashee nao waunge mkono maana ni jambo lililowazi au kama kupinga wapinge kwa mitazamo ya kimaslahi na sio kidini. Mashee wetu wanatudhalilisha tuonekane waislamu wote ni viande wanaropoka ropoka tu mambo
  2. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea mikopo bila kujua tunalipaje

    Wanaupiga mwingi...
  3. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania CCM ni Chama pekee Makini Duniani

    Sikujua kuwa jamiiforum nao ni CCM
  4. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea mikopo bila kujua tunalipaje

    Ni mtazamo tu [emoji26][emoji26]
  5. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini sasa hivi Wazanzibari hawataki kuitwa Wazanzibari?

    Znz ilibidi iwe kisiwa kinachojitegemea kama comoro tu... sidhani kama faida wanayoipata katika muungano inalingana na hasara zake
  6. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Fafanua
  7. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Unaposema miradi husika ni miradi ipi wakati mradi na mkataba wenyewe unahusu bandari kama ndio mradi lengwa wa makubaliano? Mwalimu wa hesabu majibu tafadhali
  8. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Haiwezekani mkataba uweke pingamizi kabla ya utekelezaji kwamba hauruhusiwi kuvunjika hata ukitokea ukiukwaji wa makubaliano au kutofikiwa malengo kusudiwa. Hii ni ishara ya wazi ya kutodhamiria kweli kufikia yale yaliyokusudiwa kama wanavyotuambia katika majukwaa. Na kwa nature ya hawa jamaa...
  9. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Ninachoshindwa kuelewa ni pale watu tunapozungumzia maslahi ya taifa, wengine wanadhani tunabishania vyama vya siasa...
  10. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    [emoji23][emoji23]
  11. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    23(4) inaeleza kwamba hakuna namna mkataba unaweza kuvunjwa kwa sababu yoyote ile na upande wowote ule mpaka taratibu zilizoelezwa katika article 20 zifuatwe na kuridhiwa na pande zote mbili. Articles hizi zote bado hazielezi muda wa ukomo wa makubaliano ya mkataba husika.
  12. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Wataeleza na kupamba vyote, ila hiko kipengele cha muda na namna ya kumaliza mkataba hawatagusa maana ndio kanyaboya yenyewe ilipo
  13. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunasema mkataba wa Bandari ni uwekezaji wa milele?

    Game ova.
  14. Mtu Mweusi I

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Kama kweli hawaipendi hio biashara, kujiuza kwa wiki moja kungetosha kupata mtaji wa kufungua hata restaurant ya kuuza chips wakapata ridhiki yao kwa halali na kuacha kazi hio, kuendelea kwao means wanapenda wanachokifanya
Back
Top Bottom