Recent content by mtu mwenye msimamo

  1. M

    Tanzania tumekwisha! Genge la wauza madawa ya kulevya lajipanga kumweka mtu wao Ikulu...

    Jamani tangazene injili humu kuliko wajinga wanaotupoera Mali za nchi kwa nguvu
  2. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Hapa wakuu EL apewe hii nchi so katiba ikigoma kupita ana maamuzi magumu kweli wala Hana porojo binafsi na mwombea mungu kila siku apite kashuswa mpaka chini hivyo mungu kumuinua tena inawezekana
  3. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    CCM wana mbinu nyingi tulijua Sita atakuwa Kati lakini ni walewale ndiye anamalizia msumari wa kuchakachua rasimu ya babu waliompa kazi nzito mwishoni wanamzalilisha wangejua mwanzo si wangemnyima pengine hakulala vizuri Leo unamkana hadharani
  4. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Lema una msimamo mzuri sana kamanda wetu usijali Azimio lilianzia Ar hivyo mabadiliko nayo yataanzia Ar kamanda.
  5. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Pili nchi hii tunakoelekea inataka kuwa ya kifalme hivi hakuna wasomi au wanasiasa wengi kila jimbo sasahivi likiachiwa mtoto wa kigogo au kiongozi wa serikali anasimama kugombea je wasiojiweza nani atawasaidia?twende hivyo tuuuuu mungu atatuona
  6. M

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Kama viongozi wa Tanzania wangejua kuwa kuna kufa na hutachukua hata chembe ya shilingi wasingebishana au kuwagandamiza wana nchi kwa mamlaka yaliyo na mwisho Lema hili unafanya vema kukimbia dhambi ni bora kuliko kushiriki kaka iwe isiwe viongozi wa CCM mungu atawamaliza mwenye kwa kuwanyonya...
  7. M

    Halima Mdee: Mtaji wako nini hasa? Kawe maendeleo yamedorora miaka mitano sasa

    Ache ni mambo ya siasa kwenye maendeleo ya wana nchi wenzetu wanamipango ya miaka hamsini mbele watanzania wapo kwenye malumbano.Lowasa apewe uraisi atasaidia.
Back
Top Bottom