Ni kweli lakini kipindi cha umri mdogo huwa hatari zaidi kwani hakuna uelewa wa baadhi ya mambo kama uzuiaji wa magonjwa ya ngono na mimba zisizotarajiwa na madhara mengi ya kibaiolojia ndiomaana hata serikali na sector za afya hupiga vita mapenzi katka umri mdogo kiongozo najua unaelewa hapo
Nikweli mkuu lakini pengine kwa kidato cha nne kwa miaka ile si mapema sana kama unavyotafsiri kwani watoto wa siku hizi ata wa shule ya msingi utasikia nao wana wapenzi kwakweli ni hatari sana tuchunge vijana wetu
😂😂😂mkuu kwahiyo ulihitaji nikueleze kuwa nlijificha nyuma ya pazia au nliingia ndani ya pipa? Nlivyosema nliponyoka kimazabe kwa wazee wa escape plan wanaelewa kuwa kuna mbinu za kkvita hatarishi zilitumika😂
Nakumbuka ilikuwa siku ya Boxing Day miaka ya nyuma kidogo enzi hizo nikiwa sekondari kidato cha nne nilikuwa na mpenzi jirani yaani hatua chache kutoka nyumbani kwetu. Kutokana na kutamani kumgegeda kwa kipindi kirefu na nilikuwa nikikosa nafasi kama unavyo fahamu tena kishule shule pesa tu ya...
Solution ni ndogo tu kwanza ajiamini yani akiona kaboy alikovutiwa nako akaite amwambie maana sie wavulana hatunaga desturi yakukataa mtu au akishindwa aje afanye kuni PM😂😂😂😂
Ushari huu ni mzuri endapo utamfikia ila ninaimani itamuwia vigumu sana kuchukua uamuzi kama huu kwani yeye mwenyewe anaonesha kitu kama kuridhika na si wakupambania nafasi yoyote kwakweli inauma sana kwani sote tunafahamu uwezo wa brother Adam lakini sijui yeye mwenyewe anafikiria nini embu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.