Recent content by mtoto ya simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi/ kibarua

    Sijaiona nitaitafuta niione
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi/ kibarua

    Siyo kukata tamaa vijana tusio na kazi au kibarua chochote tunadharaulika sana mtaani hiko kitu kinaniuma sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi/ kibarua

    Salaam za heshima, Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama. Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne. Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile: Kuuza dukani Uwinga Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Sawa asante kwa ushauri wako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Naweza kufanya tatizo sina chaguo lingine na kazi sina lazima nipambane tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni misaada kwa wanaojihusisha na uchimbaji wa madini

    Habari wa juu Nimekuja hapa kwa lengo moja tu natafuta mtu wa kunishika mkono anayejihusisha na mambo ya madini Mimi ni kijana wa miaka 26 nipo Dar es Salaam Lengo la kuja hapa ni kuomba kama kuna mtu anayejihusisha na maswala ya madini anasehemu ambayo anafanya uchimbaji ambayo anahitaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anahitajika alie Karibu na Kimara/Morogoro Road Mshahara 150k

    Umeandika tangazo vizuri ila ujaitaja ni kazi gani hacheni kuwa wajanja wajanja taja kazi watu wajue ni ipi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya usafi ~Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe. Nina uzoefu na uwezo wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira

    Kama malipo kwa siku yanafika kuanzia 7000 leta namba nikupe mtu wa kufanya hiyo kazi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Unguja visiwani huko au ni dar es salaam hapa hapa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Nafasi hakuna
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Hayupo hivyo maana mwanzo kabla ya kufanya biashara yake alikuwa anafanya kazi kwenye duka kubwa la nguo kama kinga ndiyo akajikusanya kusanya akaanzisha biashara yake ndogo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Habari zenu wakuu wa JF Sitaki kupoteza mda wenu kwa maneno marefu. Nipo kwa kusudi Moja tu, Kumuombea kazi mwanamke jasiri ambaye kwa Sasa amepigwa na upepo wa maisha. Alikuwa amejitahidi kujitegemea, akajikusanyia mtaji mdogo na kuanzisha biashara yake ya kujikimu. Kwa bahati mbaya vijana...
Back
Top Bottom