Recent content by MTOTO WA SALUM

  1. M

    Kikwete ahubiri Uzalendo kwa wanafunzi wa Tanzania, Beijing - China.

    Habari zenu wadau wa jukwaa na wa Tz wenzangu. Naomba tujadili maana ya uzalendo na ni vigezo gani vinamtofautisha raia mzalendo na raia asiye na uzalendo, binafsi nafahamu maana ya uzalendo kuwa ni hali ya mtu kuwa tayari hata kufa kwa ajili ya masilahi ya taifa lake, ni dhana inayoweka...
  2. M

    Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!.

    Ukiutazama mchezo wa Ngosha kishabiki utajikuta hauoni anachofanya. Ata kama kuna baadhi ya mapungufu katika utendaji wake lakini tuseme kiuzalendo tu NGOSHA Amejitoa kafara kupigania masilahi ya umma.
  3. M

    2020 CHADEMA itapoteza 90% ya wabunge

    Sisi wananchi tunataka maendeleo, na kazi ya upinzani ni kuangalia pale ambapo serikar inakosea kisha kukosoa na kutoa suluhisho la nini kifanyike, hivyo Chadema kama ni wazalendo na sio tu wapigania madaraka watajikuta bado wana nafasi kubwa ya kuendelea kuipa changamoto serikali maana hii nchi...
Back
Top Bottom