daahh mbrazil umenikumbusha mbali Irving fisher quantity theory of mtonyo...ila mi nilipataga "B" namshukuru sana mwl.wangu padre daniel domakuu na Mungu ampe maisha marefu
jiandae kutoa 80000 na pale huwa hakunaga mgomo....pia join instruction zipo huwa wanatoa kule main campus kama unaharaka nenda hata kesho kuchukua ili upige dili ujaze kwa daktari kwenu huko na zingine siku ya kuripoti unaenda pale mazimbu pia huwa wanatoa ila jiandae kutoa 10000 hadi 20000...
kwanza hongera sana kwa kuchaguliwa hiyo kozi ya AEA...ada kama unayo ni bora ukalipa kabisa sasa hivi..ila kama uliomba bodi ni busara ukangoja watakavyotoa majina ili ujue utalipa kiasi gani...then ishu ya hostel either ulipie kabisa ila siku ile uwahi na pay slip mana mara nyingi bank za kule...
daahh dogo hongera kwa kupata kozi ambayo hata mimi mwenyewe niliipenda...bank yoyote unayoijua ww inakuhusu,wizara ya kilimo,fedha,BOT(mfano kimei kabla ya kwenda crdb alikuwa hapa),UNO(ndo wamejazana sana huko,NGOs kibao za kilimo na ktk long run wawekezaji watakuwa wengi zaidi kwenye kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.