Yule msomari wa nzega nampata sana, anauchu wa kushirikiana na rosta kunyonya madin hapo nzega, si unajua rosta na bashe ni mtu na shemejiye!
mi hata sishangai kusikia kuwa anaenda kugombea igunga, cha msingi cdm tujipange.
Nnacho elewa mimi ni ukweli kwamba mtu mweupe si kama ulivyomaanisha, ni m2 asiependa maendeleo ya mtu mweus ndomana leo hii wanachimba madin ww haunufaiki nayo lkn wananufaika weupe wenzake, hali kdhalika samaki wanabeba nyie mnaachiwa mifupa. KItu cha kuelewa hapa ni kwamba Bashe amepandikizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.