Recent content by mtoahabari

  1. mtoahabari

    January Makamba Na Baraza Jipya: Ni Manun'guniko

    Kati ya wanasiasa waliotarajia nyadhifa kubwa katika mabadiliko ya jana kuelekea 2015, mmoja wapi ni mwanasiasa chipukizi January Makamba. Taarifa zinaeleza kwamba Makamba Junior amepata pigo kubwa sana na harakati zake za urais 2015 kwani kuingia katika harakati zile kama naibu waziri...
  2. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Wana JF, hakuna haja ya kuwa na hofu yoyote juu ya CIA na RA, kwani hata wao CIA wana heshimu sana UMMA. CIA huwa wanakuwa na jeuri pale tu wanapopata vibaraka wa kuwapandikiza kwenye their strategic interest areas, haswa pale vibaraka hao wanapofanikiwa kuufanya UMMA ufyate kwa hofu...
  3. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Naungana na wana JF wengi kwamba hata mimi nikiwa kama mgeni (sio mwanachama) humu JF mwaka 2007, niliwahi kumsoma Mwanakijiji sehemu moja akiapa kwamba hatanyamaza mpaka Lowassa anafutika natika anga ya uongozi wa Tanzania na alitoa vigezo vya msingi kabisa ambavyo ndivyo vitatutafunakama...
  4. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Nadhani ni muhimu sasa tuanze kumjadili Lowassa kwa hoja na vigezo vya sifa za kiongozi, badala ya ushabiki. Zoezi hili ni muhimu sana lianze sasa ili kuwe na muda wa kutosha kabla ya mwaka 2015. Ni zoezi muhimu sana kwa pande zote mbili – ule unaotaka kumjenga na ule unaotaka kumboboa...
  5. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Uchaguzi wa NEC Ni November katikati, na huko amejipanga kupata wajumbe wa kutosha, na vile vile wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa wa idadi nzuri kutoka kanda ya ziwa na huko visiwani. Wajumbe wa mkutano mkuu watakaopita 2012 watakuwepo katika nafasi zao hadi 2017, hivyo kuwa katika nafasi ya...
  6. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Tena Volkswagen ya kijivu, kama vile atakavyopotea katika medani ya Urais kama majivu.
  7. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Ya Sokoine msimuingize Mwalimu, waliommaliza ni maadui wa azimio la arusha kwani alianza kuingilia mapapa sasa badala ya kushughulika na kambale kama ilivyo kuwa mazoea ya awamu nyingine zote.
  8. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Hicho ni kiapo ambacho wengi wetu tumekula kwamba tutapigana mpaka tone letu la mwisho la damu, na kuacha walio hai waendelee na mapambano hadi adui aanguke. Ni wazi kwamba vita hivi ni vigumu sana kuvishinda, lakini inshalah...
  9. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Imebidi nirudi haraka kuweka hili sawa. napenda kutumia neno tetesi ili kutoa nafasi kwa watu kwenda kuthibitisha iwapo hawaridhiki na taarifa zangu. Vinginevyo, Mzee wetu mpendwa, Jenerali Ulimwengu alifanyiwa umafia na watu waliokodishwa na genge la Lowassa, na kuugua kwa muda mrefu sana...
  10. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Nadhani huu ni wasaa mzuri kwa mtoa mada kuja kumalizia kipande chake kama alivyoahidi, kwani tumeiteka mada yake. Naomba sasa nibakie mtazamaji kwa muda kidogo, lakini nina ahidi kwamba sitapotea kama baadhi yetu walivyo hint humu. Nitaendelea kuwepo, hadi pale ushindi dhidi ya Genge la ENL...
  11. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Ugomvi wa kisiasa, mizizi yake ikiwa harakati za mtandao kukamata nchi mwaka 2005, ambapo walihakikisha kwamba yeyote aliyekuwa anapingana na ndoto yao, anasulubiwa. Hizi ni tetesi, zithibitishe, kisha zifanyie kazi.
  12. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Hatuna haja ya kufika huko kwani wapo wenye akili timamu humu wenye ufahamu fika kwamba Lowassa ni mchafu na hafai kuliongoza taifa hili. Wanaomwona anafaa wanafuata haiba (personality) ya Lowassa ambayo itaondoka nae akienda kaburini hata kesho, hawafuati dira au itikadi ambayo itasimama hata...
  13. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    EL na RA kuikosa igunga katika uchaguzi mkuu mdogo, na badala yake JK na watu wake kuibuka kidedea...,JK na watu wake kushindwa kwenye uchaguzi wa wabunge wa viti maalum UVCCM, na badala yake EL na RA kubeba viti vyote, yote ni sehemu ya mapambano. Kuelezwa jinsi gani EL anafanya kazi mitaani...
  14. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Tetesi ni umbea ambao unaweza kupuuzwa kwani ni mchanganyiko wa ukweli na uwongo, unaosafirishwa kwa njia ya mdomo au maandishi. Umbea huu unapokufikia, ni jukumu lako kuuthibitisha, kisha kuufanyia kazi.
  15. mtoahabari

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    Aliwahi sikika mara kadhaa miaka ya nyumba kabla tu ya kuwa waziri mkuu, baada ya Remmy Martini zake kadhaa, kwamba IDOL wake ni Berlusconi. Na hivi sasa ameingia kwenye biashara na umiliki wa Magazeti, kituo cha Televisheni, na Radio.
Back
Top Bottom