Recent content by mtii01

  1. M

    Waziri Mkuu aagiza walimu wahamie shuleni

    Huwa kwa kawaida mtesaji mkubwa wa mwalimu ni mwalimu mwenzake.Kutokana na mwalimu huyu kujua udhaifu wa mwalimu ameamua kuutumia udhaifu walionao walimu kuwakandamiza. Hivi Leo mwalimu pamoja na maisha magumu ambayo yanamwandama lakini bado analazimishwa kutoka nyumbani kwake alafu akapange...
  2. M

    Serikali imekuwa ikikusanya mapato kinguvu kwenye magari na kusingizia ni faini

    Kwa sheria za makosa barabarani sio kila kosa linatozwa faini makosa mengine,niyakumwelimisha mwongoza chombo cha moto basi ukimwelimisha kulingana na mzingira utakuta kosa hilo halirudii tena,lakini kwa sasa hata hujaambiwa kosa lako nini ushaombwa leseni Namba zishaingizwa kwenye machine,alafu...
  3. M

    Majibu Mujarab kwa Zitto Kabwe juu ya sababu ya kuongezeka mishahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016

    Umeeleza yote kwangu nilichokielewa naninachosubiri in hapo uliposema uongo unadumu kwa muda mfupi lakini ukweli unaishi milele.Kwa maelezo ya Zitto mkweli atajulikana tu.
  4. M

    Nawaomba Radhi CHADEMA kwa kumtetea Zitto Kabwe wakati wa Mgogoro Ndani ya CHAMA

    Lizibon hebu tulia kidogo kwa muda wa dk 5 utafakari kisha omba Unayemuami ama ni Mungu au mizimu akupatie busara kidogo japo kama punje ya haradali kisha urudi kuanza kuandiki ulichojaliwa,kwani sasa unajivua nguo hadharani kwa kuanza kutapika ulivyokula bila kulazimishwa na mtu yoyote. Hivi...
  5. M

    Kwa uongo huu unaosambaza Zitto Kabwe dhidi ya Rais, hakika inadhihirisha kuwa umetekwa na Mafisadi

    Waandishi wa habari wanao mshangaa ztt nafikiri niwale ambao wanamda mrefu hawajapata mshahara,hivyo kwa hali ngumu waliyona nayo nadhani ndio wamepata nafasi ya kusogelea ndege japo kupiga nayo picha tu kwani hata milango ya hizi za kila siku wanaiona kwenye picha.
  6. M

    Zitto: Tumepigwa cha juu katika ununuzi wa ndege mpya

    Kumbukumbu zangu zinaonyesha alishashindwa kwani tangu atuahidi majina ya walioficha fedha uswisi mpaka leo.
  7. M

    Lukuvi: Wasioendeleza Viwanja ndani ya miezi mitatu kunyang'anywa viwanja vyao

    Tafadhali sana Mzee wangu Lukuvi katika mawaziri wa awamu hii ya tano wewe ni number one wangu chonde chonde Baba achana kabisa na kauli za namna hii zitakuharibia kabisa kwani wewe pekee ndiwei umebaki waziri kiyoo cha serikali hii,wengine wote wanafwata mkumbo mkubwa kasema nini na yeye aseme...
  8. M

    CCM yamjibu Gwajima, yawaomba wanaCCM kupuuza uongo, uzushi na ushauri hasi wa Askofu Gwajima

    Mkuu umenena maneno mazito sana binafsi nimekuelewa sana
  9. M

    Tundu Lissu na Zitto mje mtuambie ukweli juu ya mshahara wa rais

    OK Mimi nisemetu sijaelewa wanasema Rais kapunguza mshahara wake.Kwanihapo awali tulishawahi kujua aliyemaliza mda wake ashawahi kutuambia analipwa shilingi ngapi? Kwa mujibu wa sheria mshahara wa mtu in siri yake mpaka hapo atakapoamua kusema yeye mwenyewe. Ok kwakuwa tumeamini kuwa huyu...
  10. M

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    Pekee kinachoniuma nikuibuliwa kwa kashfa kubwa kama hizi kisha mwisho wa siku hakuna faida yoyote tunayoipata watazanzania. Tunaishia kujua tu kuwa kiasi kile tulichoibiwa ni zaidi ya kile tulichoibiwa kipindi kila basi tunachambua weee humu kwenye mitandao bila kupata faida yoyote baada ya...
  11. M

    Sina imani na chama chochote! naanzisha cha kwangu, niunge mkono

    Hata hicho unachoaanzisha sikitakuwa Tanzania sasa utakiaminije wakata kitakuwa kipo tanzania
  12. M

    Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    Mkuu miradi hii sio ya kizazi cha Leo tunaandaa kwa ajili ya watu wajao Mkuu. Kama tutafanya mambo kwa kuaangalia Leo hatuwezi kufika Mkuu.sisi tayari tulishakosea na tulishajengwa hivyo sasa tusitake na vizazi vijavyo navyenyewe viseme havina milioni hamsni. Shida ya sisi wabongo tunapenda...
  13. M

    Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    Kama nikweli hii habari imenisikitisha na kunikatisha tamaa Miradii hii ni miradi ambayo kama ilivyoratibiwa ni njia mojawapo ya kutufanya watanzani kutoka hapa tulipo na kuanza kufikiria kuwa katika ulimwengu wakutambulika. Lakini pia hii ni njia mojawapo ya kumkomboa huyu mtanzania ambaye Leo...
  14. M

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Mkuu umeongea maneno mazito mno
Back
Top Bottom