Sina imani na chama chochote! naanzisha cha kwangu, niunge mkono

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Kwa Kwel Nimevumilia Na Nimefanya Tafit Kwa Muda Mrefu Nimeona Kuwa Tanzania Hakuna Chama Kitakachoweza Kuleta Mabadiliko Ya Kweli! Hvyo Nimeamua Kuanzisha Chama Changu! Kitaitwa Chama Cha Mbele! A Foward Political Party! (FPP) Sisi Tutakua Tunasonga Mbele! Hakuna Kurud Nyuma! Yaan Mbele Kwa Mbele!! Hakuna Kurud Nyuma!!
Kipaumbele Kikuu Kitakuwa Kubana Matumizi! Ambapo Kwa Kuanzia Wabunge Nitawatengea Bas (yutong) watapanda kwa Pamoja Na Kuelekea Bungen! Hii Itaokoa Gharama Za Kuwanunua Magar Hvyo Kubana Matumiz!
Nipeni Ushirikiano Jaman Naamin Tutaingia Ikulu 2020.
Mwenyekiti FPP
 
Kwamba mbelekwambele!!
Hehehe unawajua FFU wa Tanzania!!?
Muulize Halima Mdee

Ila ndio vizuri maana kinacho angaliwa sasa ni ruzuku
 
mzama chumvini...tafuta wazama chumvini wenzako..... uwajaze huu uharo wako.
 
Kwamba mbelekwambele!!
Hehehe unawajua FFU wa Tanzania!!?
Muulize Halima Mdee

Ila ndio vizuri maana kinacho angaliwa sasa ni ruzuku

Kweli wewe kituko,Mh.Halima Mdee ameingiaje katika harakati hizi za Mzama chumvini kuanzisha chama chake cha mbele ili azidi kuzama chumvini zaidi? Mbona sioni mantiki ya kutajwa kwa Mdee katika bandiko la mzama chumvini?
 
Sabakher Wadau;
Kwa Kwel Nimevumilia Na Nimefanya Tafit Kwa Muda Mrefu Nimeona Kuwa Tanzania Hakuna Chama Kitakachoweza Kuleta Mabadiliko Ya Kweli! Hvyo Nimeamua Kuanzisha Chama Changu! Kitaitwa Chama Cha Mbele! A Foward Political Party! (FPP) Sisi Tutakua Tunasonga Mbele! Hakuna Kurud Nyuma! Yaan Mbele Kwa Mbele!! Hakuna Kurud Nyuma!!
Kipaumbele Kikuu Kitakuwa Kubana Matumizi! Ambapo Kwa Kuanzia Wabunge Nitawatengea Bas (yutong) watapanda kwa Pamoja Na Kuelekea Bungen! Hii Itaokoa Gharama Za Kuwanunua Magar Hvyo Kubana Matumiz!
Nipeni Ushirikiano Jaman Naamin Tutaingia Ikulu 2020.
Mwenyekiti FPP

Mkuu mzama chumvini,

Niambie na leo Mbwa dume wako karuka ukuta?

Mtafute Faizafoxy ni mtaalam wa kuzuia mbwa kama hao wasiwe wanakusumbua.
 
Sabakher Wadau;
Kwa Kwel Nimevumilia Na Nimefanya Tafit Kwa Muda Mrefu Nimeona Kuwa Tanzania Hakuna Chama Kitakachoweza Kuleta Mabadiliko Ya Kweli! Hvyo Nimeamua Kuanzisha Chama Changu! Kitaitwa Chama Cha Mbele! A Foward Political Party! (FPP) Sisi Tutakua Tunasonga Mbele! Hakuna Kurud Nyuma! Yaan Mbele Kwa Mbele!! Hakuna Kurud Nyuma!!
Kipaumbele Kikuu Kitakuwa Kubana Matumizi! Ambapo Kwa Kuanzia Wabunge Nitawatengea Bas (yutong) watapanda kwa Pamoja Na Kuelekea Bungen! Hii Itaokoa Gharama Za Kuwanunua Magar Hvyo Kubana Matumiz!
Nipeni Ushirikiano Jaman Naamin Tutaingia Ikulu 2020.
Mwenyekiti FPP
Mkuu wazo zuri ila nahisi kuna mkwamo hapo kwenye usafiri kwa Wabunge na inaonekana una wivu sana na mashangingi ya waheshimiwa.

Lakini umeweza kutueleza utawatafutia yutong moja kana kwamba matumizi ni hayo tu magari ya wabunge!

Umesahau jiografia ya Tanzania na sina hakika kama umefanya tafiti ukajua kuna majimbo mangapi hapa ili ukishajua iwe rahisi hilo bus lako moja liweze kuwapitia wabunge wote majimboni mwao.

Au unataka kutuambia wabunge wote wahamie Dar ili iwe rahisi kuwa-pick kila mmoja.
 
Sasa km wew hauna iman na vyama vya siasa vilivyo, sis titawezaje kukiamin chama chako? Bas kila mtu asiwe na iman na chama chochote aanzishe chama chake km wew au abaki tu bila chama maana tumechoka kudanganywa
 
Hata hicho unachoaanzisha sikitakuwa Tanzania sasa utakiaminije wakata kitakuwa kipo tanzania
 
Back
Top Bottom