sasa hvi wa2 wanaangali wapi kwenye maslahi zaidi, nibora ukapata hicho hicho kidogo kuliko kukosa kabisa, 2meona wa2 wangapi NA ma degree yao wameishia mtaani , mi nadhani EDUCATION IKOPOWA
naombeni msaada wenu jamani.
nime aply vyuo viwili, MIpango, na EDUCATION, lakini mipango nimepata nakuhusu ualimu bado hawajatoa post hadi sasa, nafikiria sana kuhusu hili naweza nikasubri hadi postzitoke then nisipate kwa upande mwengine nikawa nimesha chelewa mipango kwasabu wamesha fungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.