Mazungumzo ya Mengi kwa waandishi wa habari katika hoteli ya Movenpick, Dar es Salaam tarehe 32 Machi 2006,alisema kuwa hana ugomvi wala hakuwahi kuwa na ugomvi au uhusiano wa kibiashara na Manji au Quality Group Limited.
"Hivi karibuni vyombo vya habari vimeandika kuhusu suala la mikataba ya...
Kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa tumekuwa tukiona magazeti ya bwana Mengi yakichukua a dramatic twist katika story zake:
Mfano amekuwa akimuandama sana Yusuph Manji kwa kurudia stori hiyo hiyo kupitia gazeti la THIS DAY akidai ni crook business man ambae ana shaddy deals na mamlaka kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.