wajameni huu ufisadi unatokana na mwenendo mzima wa waliowatangulia hawa vijana (watoto).
Hawa wa Barclays Bank, masikini yarabi wamejikuta kwenye wakati mgumu na walioengineer huo mpango wapo nje ya matatizo.
Kwa wale waliosoma kwenye part ya Celebrities kuna heading ya mwanamama tapeli jijini...
ALAAAAAH KUMBE!!!!!!
Nilidhani habari zake nilizonazo ni za kiundani sana kwa jinsi ninavyomfahamu!!!
Mjasiriamali umeuaaaa!!!!
Kesi inayoendelea BARCLAYS BANK, OHIO BRANCH anamhifadhi mke wa mtuhumiwa? au ni ndugu yake?
Na kama sio ndugu yake, ni upendo gani huooooo?
LAZIMA KUNA KITU...
wadau eeeeh!!!!
Huyu jamaa amejiita "mtetezi wao" ameingia kwa jina langu. Infact sijui ni mkenya au anazuga maana simwelewi. Mimi ndo "mtetezi wao" na tayari nimechange password ili asipotoshe jamii.
Namfahamu huyo mama, huyo "mtetezi wao" asiyemfahamu ni tapeli na yeye.
Mjasiriamali Shupavu unanikuna sawasawa,
Kumbe unazoinfor za ndani kiasi hicho kuhusu huyo mama?????
Wewe ni m1 wapo wa aliowalaghai? au ni mkereketwa wa kanisa hiloo???
Duniani kuna mambo kweli.
Nilikuwa nadhani matapeli kama yeye wapo huku Nairobi peke yake kumbe hata TZ mnatuzidi?
Huyo...
Duh mshkaji Mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa Fauzia Jamal Mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa EBONY, sifahamu makao yake makuu.
Ebwanaeee..!!!! huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.