Recent content by Mtengule

  1. M

    JamiiForums Tanzania Speaker Makinda so is this "Wanawake Wakiwezeshwa Wanaweza?"

    Mimi sioni tofauti yoyote kati ya Makinda na Ndugai. Wote wanaipendelea CCM. Na siku ambayo Serurope ametukana aliyekuwa akiongoza bunge alikuwa ni Naibu Spika Job Ndugai na hakumchukulia hatua yoyote na badala yake aliwatoa na kuwasimamisha wabunge watano wa Chadema. Kama ni kupendelea CCM...
Back
Top Bottom