Hahahaha Hapana mkuu niya kawaida tu ila wanalalamika sana. yan naweza kusex leo kesho yake akakaa siku nzima miguu inamuuma na baadae tumbo duuh tena sina kubwa niya wastani tu
Wapendwa wana JF,
Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na...
Yani kablaMagufuli hajafumua baraza la mawaziri ingetakiwa Waziri wa Nishati awatumbue hawa managers wanao piga vishoka ofisini Kabla na yeye Hajatumbuliwa. Hasa Manager wa TANESCO SAME
Ndio maana tunasema hawa watu hawawezi biashara yani wanachelewesha hata quotation mtu anapesa anataka kulipa???????????? duhhh Raisi Magufuli tumbua fumua hili shirika Upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.