Kila mwanamke ninae fanya naye mapenzi, analalamika kuumwa na tumbo

mtendaji wa kijiji

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
533
114
Wapendwa wana JF,

Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na tatizo hilo bado wanalalamika sana.

Bleeding inaweza kuchelewa katika mzunguko kwa siku saba. Sasa naombeni ushauri wataalamu Tatizo ninini?
 
Pasi wewe utakuwa na 'ya Punda' Nenda hospitali ukavalishwe bangili...
Hahahaha Hapana mkuu niya kawaida tu ila wanalalamika sana. yan naweza kusex leo kesho yake akakaa siku nzima miguu inamuuma na baadae tumbo duuh tena sina kubwa niya wastani tu
 
Wapendwa wana MMU naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na tatizo hilo bado wanalalamika sana. Bleeding inaweza kuchelewa katika mzunguko kwa siku saba. Sasa naombeni ushauri wataalamu Tatizo ninini??/

Labda una gonjwa ambukizi unalowaambukiza.

Kapimwe hospitali.
 
Wapendwa wana JF,

Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na tatizo hilo bado wanalalamika sana.

Bleeding inaweza kuchelewa katika mzunguko kwa siku saba. Sasa naombeni ushauri wataalamu Tatizo ninini?
Punguza kula Pilpili mkuu
 
Hapo inaweza ikawa ni matatizo kadhaa Mara nyingi huwakuta wanawake.
1. Kubana / kukakamaa kwa misuli ya uke ( vaginismus )
2. Kukaza kwa shingo ya kizazi.
3. Mfumo wote wa kizazi kuharibika.

Kwa ushauri mzuri nendeni hospitali mapema yaweza ikawa ni tatizo kubwa sana baadae hata kupata kwa Kansa ya uzazi, zingatieni mapema.
 
Wapendwa wana JF,

Naombeni msaada wa kitaalamu. nimefanya sex na wanawake 3 tofauti kwa vipindi tofauti kuanzia mwaka jana 2015 Lakini Kila ninae sex nae baada ya siku kadhaa analalamika kuwa tumbo linamuuma sana na wote menstruation period zinabadilika. wote hao nime sex nao kwa kurudia na tatizo hilo bado wanalalamika sana.

Bleeding inaweza kuchelewa katika mzunguko kwa siku saba. Sasa naombeni ushauri wataalamu Tatizo ninini?
Kwa uzoefu wangu huwapi maandalizi ya kutosha, inatakiwa uwachezee mpaka uhakikishe uke una ute wa kutosha kisha ndo uanze nje...ndani. Mimi ilishawahi kutokea kwa wasichana watatu na wote walikuwa wanapata tatizo kama hilo, ilitokea kipindi Demu akawa anapitisha siku 45 bila kupata hedhi na akija kupata inakuwa nzito na ndipo tatizo la kuumwa tumbo linapoisha. Hivyo jitahidi kuwaanda kabla ya kuingiza dushe, nasema hivi sababu baada ya kumuandaa demu vya kutosha hakuwahi kulalamika tumbo baada ya kusex
 
Asante sana Mkuu for good explanation I will try it
 
Back
Top Bottom