Mabadiliko hayawezekani bila maumivu ya kutosha. Watanzania kwa ujumla wameridhika na maisha yao chini ya viongozi wote tangu tupate uhuru. Mamilioni wangekuwa wanaumia sana, kungekuwa na maandamano nchi nzima, kila wilaya, kila mkoa, kila wiki hata isingekuwa kila siku. Hakuna askari wa kutosha...
Huyo mwandishi Godfrey Mwakikagile ni Nyerereist na pia Panafricanist katika mawazo yake. Simjui lakini nimesoma baadhi ya vitabu vyake. Ana mawazo ya Nyerere na ya kina Nkrumah na Sekou Toure kutaka nchi za Kiafrika ziungane. Ndiyo mawazo ya miaka ile ya 1960s.
Ukimsoma vizuri, inaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.