Recent content by MTEGULE

  1. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Kaka gharama ni za chini kulingana na sehemu nilipo, ukisoma vizur hiyo post bila shaka utaelewa..
  2. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Ndugu Yangu kabla ya kuandika chochote jitahidi kutafakari unachokiandika..hizo gharama na shughuli zote ni kutokana na maeneo ambayo mimi nina ushahidi nayo kama nilivyoyaanisha hapo. Na hili lipo wazi kuwa gharama za kilimo hutofautiana kulingana na sehem husika, mfano kuna sehem huwez...
  3. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Pamoja sana ndugu yangu Ali mohammed
  4. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Lete hoja za kubainisha kuwa nimedanganya.. Na ni waapi nilipofeli katika matumiz ya Lugha??
  5. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Unachosema kina maana Mkuu..ila sidhani kama unamaanisha unachosema..
  6. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Maneno yako ya mwanzo si sahihi cha kusema mimi ndiye mwanzilishi wa kilimo cha matikiti kwenye makaratasi dai hilo si sahihi. Lakini pia, Shukran sana kwa kunipa ushauri hapo mwishoni..Mungu akubarik sana Mkuu.
  7. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    Ushauri wako mzuri kaka..shukrani sana ndugu Yangu..ila ningependa kukuweka wazi kuwa mimi ninaishi kwenye hiyo jamii na mimi ni shuhuda wa hayo.. nimefanya hivyo kwanza watu watumie fursa katika kilimo hicho hasa maeneo ya huku kwetu maana gharama za Ukodishaji,uandaaji na michakato yote ya...
  8. M

    Pata faida kwa kufanya biashara ya Maziwa mtindi

    ONGEZA KIPATO ZAIDI KWA KUSINDIKA NA KUFANYA BIASHARA YA MAZIWA MTINDI. Watu wengi wamegubikwa na kutofahamu kiundani hasa kuhusu utengenezaji na ufanyaji biashara ya Maziwa mtindi na kushindwa kutumia fursa hii adhimu inayoweza kuongeza kipato zaidi katika maisha. Maziwa ni malighafi ambayo...
  9. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    PATA FAIDA KUBWA KUPITIA KILIMO CHA ALIZETI. KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA AROBAINI (140,000) KWA HEKALI MOJA NA KUPATA ZAIDI YA MILLION MOJA NA LAKI NNE (1400,000/=) KWA SIKU TISINI (90). Ndugu Wapendwa hapana shaka ya kuwa mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania.Ikiwa ni...
  10. M

    SoC01 Mchango wa Sekta ya Elimu katika maendeleo

    Karibu kwa majalidiliano wana jukwaa
  11. M

    SoC01 Tanzania, takriban asilimia themanini na tano (85%) ya watu wanajishughulisha na Kilimo

    Sawa ndugu yangu nimekuelewa vizuri..takwimu ambayo nimeipitia ilikua ni ya muda kidogo.
  12. M

    SoC01 Wanafunzi wafundishwe sanaa shuleni

    WANAFUNZI WAFUNDISHWE SANAA SHULENI. Sanaa ni ufundi au ujuzi ambao unatokana na fikra za mwanadamu na kuwasilisha kwa wengine. Sanaa imebaba matawi mbalimbali kama vile ushonaji, muziki, uhunzi, Ufinyanzi, uchoraji,fasihi,maonyesho na utarizi. Ufundishwaji wa sanaa shuleni kutokea ngazi ya...
  13. M

    SoC01 Mchango wa Sekta ya Elimu katika maendeleo

    Sekta ya elimu ni mojawapo ya sekta nyeti sana katika maendeleo ya kila taifa hapa ulimwenguni ikiwemo Taifa la Tanzania. Hili lipo wazi na hakuna wa kupinga kwani zipo ithibati nyingi dhahiri zinazobainisha suala hilo. Katika nyanja zote za uzalishaji mali kama vile ufugaji, kilimo,biashara...
  14. M

    SoC01 Tanzania, takriban asilimia themanini na tano (85%) ya watu wanajishughulisha na Kilimo

    KILIMO ni mchakato wa kulima mazao ya chakula na mazao biashara pamoja na kufuga wanyama.Hapo mwanzo ilifahamika tu kwamba kilimo kinahusisha ulimaji wa mazao pekee lakini kutokana na mabadiliko na maendeleo ambayo yamejitokeza hivi sasa, kilimo kinajumuisha Ulimaji wa mazao na Ufugaji wa...
Back
Top Bottom