Yaani mkuu, kuna msemo unasema mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba, ukiendekeza mandugu na kutaka kuonekana mwema maendeleo utayasikia kwa jirani! Ni wanafki na washirikina wakutaka ufeli wacheke...achana nao jali familia yako tu, wwo wape kiasi na wasikuzoee watapeana taarifa tu.
Na ndio maana wameendelea lbd kuzif makabila yote hawa jamaa na mara nyingi wanaoa wahaya sababu ni wabinafsi wenzao na hawataki tegemezi la kupitiliza, Africa hatuendelei sababu ya tegemezi...ni too much na cha maana hakuna zaidi ya kurudishwa nyuma kimaendeleo na kufitiniwa tu...jikute una...
Sio kila mtu anasaidiwa bwana...Africa tunachosha na ma extended family, mpk mtu unachelewa kufanya maendeleo beana kisa kulisha na kusomesha watu na shukrani hawana zaidi ya ushirikina na unafki tu.
R.i.p baba yangu mzazi, nakukumbuka sana binti yako wa pekee, Nuru ya milele ikuangazie upendo wako kwangu hautakaa ufutike[emoji24]
R.i.p mama yangu mdogo mpenz uliekua na roho nzuri kuliko mtoto yoyote wa bibi yangu..tunakujumbuka sana watoto wako na dada yako anaumia sana sababu mliishi km...
Dada relax hiyo mzungu kakupenda, mzungu tena kijana hivyo akupe his personal details na kukutumia kiasi cha pesa km hicho! Sio kizembe hivyo
Muombee tu azidi kukupenda na amekutumia hela nyingi tu maana hela ya norway sio kubwa km dollar au pound so ni amekutumia hla ya kueleweka ht huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.