Recent content by MTAZANIA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

    Kuna ubaya gani ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa ni chaguo lakini Kila chaguo linamfichua mtu alivyo ndani yake

    Ndugu zangu, tuseme ukweli usiofunikwa na siasa za kupaka sukari!" Wafuasi wa CHADEMA wamegawanyika katika njia tatu — na kila njia ina hadithi yake. Waliokimbilia CHAUMA Hawa ni wanasiasa waliochukua uamuzi si kwa tafakari ya kina, bali kwa msukumo wa kundi. Ni kama mtu anayeongozwa na kelele...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, kulikuwa na dharura halisi kufanyika kikao cha mtandao?

    hasira za Nini wew baba Yule si wako mm si wangu chuki ya Nini mm na wewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, kulikuwa na dharura halisi kufanyika kikao cha mtandao?

    😂😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, kulikuwa na dharura halisi kufanyika kikao cha mtandao?

    Ndo kumekucha shemeji
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, kulikuwa na dharura halisi kufanyika kikao cha mtandao?

    Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla hazijatokea, na kuchukua hatua stahiki kwa wakati. Leo hii tuko ndani ya mchakato nyeti wa uchaguzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    Chama kinahitaji maombi tuzidi kuomba
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je uteuzi wa mgombea ndani ya CCM ni wa kupendeleana au ni utaratibu wa muda mrefu?

    Wapo wanaoikosoa CCM kwa kile kinachoonekana kuwa ni "uteuzi usio wa kidemokrasia" wa mgombea urais kwa 2025. Lakini swali la msingi ni: Huu ni upendeleo au ni utaratibu wa muda mrefu ndani ya chama? Historia inaonyesha wazi: Nyerere mwenyewe alitumia ushawishi wake kumteua Ally Hassan...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

    Sawa inaweza lakin saiv akisema Kuna utekaji tuseme hapan kwasababu Akitokea mtu ambaye alikuwa kwenye system akisema Kuna utekaji ina impact zaidi Kwa WANanchi kuliko wanasias wetu wa upinzani ndio maana inavyotokea mtu kam huyo basi hatua za harak na tahadhari huchukiliwa Angalia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

    Haimhusu ilikuwa kupoteza muda tu kuyaongea
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lema kumshambulia Polepole ni ujuaji usiokuwa na faida

    Umwelewa sema hautaki kuongea 😁
Back
Top Bottom