Recent content by Mtara

  1. M

    JamiiForums Tanzania DR.ASHA-ROSE MIGIRO Amekubali kuwa mpishi wa siasa chafu za CCM?

    Jaman nikiwa kama mwanaharakat huyu mama ni moja ya watu waliokua wananivutia kukaza buti kwa katika kutafuta ukomboz wangu na wanawake wenzangu. Kusema kwel napenda saaana wanawake wote kada zote bila kujali nafasi zao kisiasa kijamii wa kiuchumi. Kiukweli nimesikitishwa na taarifa za mwanamama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM wamgeuka RC Arusha: WADAI AMEMWONGEZEA UMAARUFU LEMA, CHADEMA

    Polen me nawapa pole kuzaliwa kwenye serikal ambayo kila mtu anauwezo wakutoa amri na tamko! Sasa kama rc ni mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalam. HalaFu ye ndo anaongoza kwa kutishia wa2 maisha. Me cjui bos wake yuko wapi. Dah! Makada bwana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chama hiki kinahonga wanavyuo vikuu,je ni maadili?TAKUKURU MPO?

    Hata hivo c vibaya kuendelea kuchukua vihela vya vocha, c ndo kodi zetu jaman. Hv mnadhan kuna mtu atapita nyumba kwa nyumba kurudisha chenji ya rada?:ndo tunarudishiwa indirect C vibaya kuchukua hela ya kujikim huku tukisubir mwaka kesho tuwakomeshe kwny uchaguzi wa 2014 na 2015.in shot...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama hiki kinahonga wanavyuo vikuu,je ni maadili?TAKUKURU MPO?

    Wewe ndo unadhani labda unamkomoa aliyekuwa anakupa pesa, kumbe mwenzio akikupa elfu hamsini alikuwa anakwenda kuandika amekupa laki mbili. CCM ni shamba la bibi. Wengi hawamo mule kwa mapenzi bali pale ni Chukua Chako Mapema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hello

    Mimi ni mwanachama mpya wa JF naombeni mnipokee. Asante.
Back
Top Bottom