Recent content by Mtanzanias

  1. M

    Sasa ni rasmi, Fiston Kalala Mayele atambulishwa Pyramid FC ya Misri

    Leta uthibitisho wako juu ya madai yako, vinginevyo usitake tuyaamini maneno ya mwenyekiti wenu mstaafu bwana Rage!
  2. M

    Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Mmmh apo kuna shida mahala ngoja tusiyamalize maneno mbivu na mbichi itajulikana tu
  3. M

    Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
  4. M

    Kipa mpya wa simba ni majeruhi

    Nafikiri lilikuwa pendekezo la kocha Robertinho, kwa maana napata shida kuwalaumu viongozi wa simba kwakuwa sidhani kama walishamuona popote, isipokuwa wanatakiwa walaumiwe kwa kuruhusu scout kuingiliwa majukumu yake, suala la vigezo vya uyo kipa kutokidhi na bado uongozi ukaruhusu asaini...
  5. M

    Kipa mpya wa simba ni majeruhi

    Online product🤣🤣🤣🤣
  6. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Viongozi wa ovyo wako kule kwa mhindi wa Bombay, Viongozi bora wanatwaa makombe na kujaza kwenye makabati, ebu tuambie ubora wa viongozi wako kwenye usajli ni upi? Ambao awalindi mikataba ya wachezaji kama unavyoropoka wametwaa kila aina ya kikombe na wengine wametwaa vikombe vya kahawa ivyo...
  7. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Mkuu usipoteze muda wako bure kuwaelezea vijana wa mangungu jambo linaloeleweka kwa kila mtu mwenye akili timamu, iyo ajenda ya kwamba mayele anamilikiwa na sijui nani wameiset wao wazee wa kuongeza sifuri, inaonekana kuna jambo linawasumbua vichwani mwao juu ya mauzo ya mayele
  8. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Ingeenda kuadhirika kwa kipi labda ebu tupe mrejesho wa mkataba wake ulkuwaje
  9. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Amshukuru Rais kumuokoa otherwise yeye pamoja na wapambe wake kama nyie msingemsaidia chochote kwa maana alikuwa mdomoni mwa mamba!
  10. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Ndo ukamuulize sasa kwamba mbona fedha za mauzo zimeenda yanga na kwake azionekani kwenye account
  11. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Mmiliki wa mayele ni mangungu ndiye ameingiziwa icho kiasi kwenye account yake, case closed!
  12. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Alafu baada ya kuongea kama alikuwa sahihi ni nini kilifata
  13. M

    Azam kuibomoa Yanga tena 99%. Bangala mali ya Azam FC

    Kama ambavyo atuijui issue ya chama kama ulivyonena basi na wewe bora ukae kimya juu ya issue ya feisal maana akuna unachokijua zaidi ya habari za udaku
  14. M

    Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Inawezekana maana ukipita pale msimbazi sio kwamba na wewe umesajiliwa simba!!
  15. M

    Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Nyie simbwa mangapi yanafanyika na mko kimya, Taasisi sio vikundi vya umbea umbea kupuyanga kila kitu na ndio maana sakata lenu na chama viongozi wako walifunika kombe, hivyo usitake kujifanya unawafundisha watu kazi
Back
Top Bottom