Recent content by mtanzania07071989

  1. M

    JamiiForums Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

    jamani io miti iko aina nyingi nn mbona me nilio uona hautoi hayo ma utomvu
  2. M

    JamiiForums Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    hakuna atakaethubutu kuleta majibu ya maana,hata dj mbowe anajua hilo wataishia kutoa povu tu
  3. M

    JamiiForums Arusha- Ukweli mchungu!

    Acha kuchochea ukabila bila sababu za msingi
  4. M

    JamiiForums Utata wa masuala ya kigaidi nchini nani mkweli

    Waiting for that
  5. M

    JamiiForums Mbunge wangu SELASINI na mbunge wa kufikia LEMA, mimi nataka kura ya WAZI..

    Mbunge wangu Msigwa,nataka kura ya siri.
  6. M

    JamiiForums Maandamano makubwa nchi nzima

    Tuanze kuonyesha kupinga hilo ongezeko hata kama ni tetesi ili isitokee kweli.
  7. M

    JamiiForums Maandamano makubwa nchi nzima

    watapunguza imani kwa wananchi
  8. M

    JamiiForums Maandamano makubwa nchi nzima

    Bora wanifukuze,ila nitasimamia ukweli daima.
  9. M

    JamiiForums Dr slaa,Mbowe Mbatia,Lipumba na wapinzani wengine mnamuogopa nani kwa hili?

    Mbona kimya,hamsemi chochote (i stand to be corrected) kuhusu wabunge kulipwa milioni 160 za mafao ya kustaafu.Au fedha hizi kwenu ni ndogo.ONYESHENI UZALENDO WENU KTK HILI.
  10. M

    JamiiForums Maandamano makubwa nchi nzima

    Jamani kama kuna wakati wa kuonyesha uzalendo kama watanzania ndio sasa,tuungane wote kupinga upuuzi huu wa wabunge kulipwa milioni 160,hilo ni ongezeko la zaidi ya asilimia 200,kutoka milioni 43 walizokuwa wakilipwa mwanzo kama mafao ya kustaafu ubunge baada ya miaka...
  11. M

    JamiiForums Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Sio kila anaedai demokrasia ndani ya chama ni msaliti,acheni kudanganya watu.
Back
Top Bottom