Hovyo kabisa Huyu Mama. Anamdanganya Nani?
Huyu alikuwa naibu Katibu Mkuu wa UN, hata mambo ya hovyo ya polisi anaona sawa. Waafrika tuna matatizo makubwa sana.
Mkuu Pascal,
Huwa situmii hii username mara nyingi siku hizi. Imebidi leo niitumie kuonyesha kama Mkongwe hapa kukerwa sana na andiko lako la leo.
Shida yako ni nini? Unataka ku achieve nini hapa?
Kumlinganisha Nyerere na Mwigulu ni kuwakufuru Watanzania.
Hata kama ni uchawa sasa mnavuka...
Huyu Wakili ni tapeli kabisa. Mbona leo hamtaji Makamu Mwenyekiti kama alivyosema mwanzoni?
Shughulikia za wana Chadema huko mikoani zina uhusiano gani na hiki anakiongea leo?
Je wanawake wa Chadema kusherehekea siku ya wanawake duniani kuna uhusiano gani na zuio lake?
Hawa ndio Matapeli ndani...
Hii ni fake news. Heche hajaongea hivyo.
Mnapata faida gani kuleta habari za uongo? Mnafikiri Watanzania ni wajinga sana na wataamini tu maandiko yenu?
Wana JF,
Baada ya miaka mingi sana Nimeona niwasalimie kidogo.
Tumetoka mbali Kuanzia kule Business Times, Jambo Forums mpaka sasa JamiiForums.
Ni furaha kuona hiki chombo kinaendelea Salama chini ya mikono ya mdogo wetu Maxence.
Pole sana kwa ndugu zetu wengi sana ambao wametangulia mbele ya...
Baada ya mikasa ya Jamboforums na kusababisha kuanzishwa kwa Jamiiforums baadhi ya wanachama hasa waliokuwa wanaishi Ulaya na USA walijitolea kuhakikisha Jamiiforums inaendelea. Kumbuka miaka hiyo kulipia huduma za mitandao ilikuwa kazi nzuri na TZ hakukuwa na credit cards za kuwezesha malipo...
Mkuu Balantanda upo?
RIP kwa ndugu yetu William Malecela.
Nilipotea JF kwa muda mrefu ila kwa heshima ya William Malecela leo nimerejea. Poleni sana wote.
Wakuu,
Duh! Miaka mingi sana. Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu yetu William Malecela.
Ni miaka mingi sana sijaingia JF kwa kutumia jina hili. Ila kwa heshima ya Field Marshal ES leo nimeamua kuingia kama Mtanzania na kutoa rambirambi zangu kwa William ambaye nilikuwa karibu naye sana miaka...
Kama unasomea kwenye simu ngumu. Ila nilikuwa namwandikia PMkama ambaye najua ana uwezo wa kusoma PDF file.
Kilichoandikwa ni kwamba barabara ya Wazo Hill to Bagamoyo ya km 45 ilijengwa kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003. Ukweli ndio huo, kama unataka kubishana bishana. Angalia na hilo file hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.