Baada ya mikasa ya Jamboforums na kusababisha kuanzishwa kwa Jamiiforums baadhi ya wanachama hasa waliokuwa wanaishi Ulaya na USA walijitolea kuhakikisha Jamiiforums inaendelea. Kumbuka miaka hiyo kulipia huduma za mitandao ilikuwa kazi nzuri na TZ hakukuwa na credit cards za kuwezesha malipo...
Mkuu Balantanda upo?
RIP kwa ndugu yetu William Malecela.
Nilipotea JF kwa muda mrefu ila kwa heshima ya William Malecela leo nimerejea. Poleni sana wote.
Wakuu,
Duh! Miaka mingi sana. Poleni sana kwa kuondokewa na ndugu yetu William Malecela.
Ni miaka mingi sana sijaingia JF kwa kutumia jina hili. Ila kwa heshima ya Field Marshal ES leo nimeamua kuingia kama Mtanzania na kutoa rambirambi zangu kwa William ambaye nilikuwa karibu naye sana miaka...
Kama unasomea kwenye simu ngumu. Ila nilikuwa namwandikia PMkama ambaye najua ana uwezo wa kusoma PDF file.
Kilichoandikwa ni kwamba barabara ya Wazo Hill to Bagamoyo ya km 45 ilijengwa kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003. Ukweli ndio huo, kama unataka kubishana bishana. Angalia na hilo file hapo...
Mkuu PMkama,
Huenda serikali ilikurupuka kutoa tamko na kusema aliyevunja ni Kawambwa. Baada ya muda wameona wamechemka, sasa wamekanusha kwamba hiyo taarifa sio ya kwao.
Ukweli ni kwamba mkataba huu ulivunjwa wakati wa rais Mkapa.
Hii serikali ilitakiwa ikae kimya hata siku nzima wakitafuta...
Pmkama,
Salama lakini?
Kwa taarifa tu kama umeshindwa kufuatilia taarifa zote. Huyu Mkandarasi alikuwa anajenga barabara ya Wazo Hill kuanzia mwaka 2000 mpaka 2003.
Inasemekana ni katika kipindi hicho hicho mkataba wake ulivunjwa. Kwahiyo hiyo kazi walipewa wakati wa rais Mkapa na kunyang'anywa...
Mnataja tu majina ya watu, kwani lini Rama alikuwa mwajiriwa wa NIDA?
Kama yeye alifanya kazi za kitaalam kama Consultant, hawezi kuhusika na hayo maamuzi ya watendaji.
Huwezi kupata uprofesa kwa kusoma darasani. Unapata kwa kufundisha na kufanya utafiti.
Sasa utafanyaje hayo kama huna kazi? Tena field yenyewe telecom engineering .
Labda kastaafu na hiyo ni part time tu.
Mkuu MkamaP,
Maelezo yako ni sahihi. Ila conclusion naona sio sahihi.
Mfanyabiashara yeyote anapanga faida kwenye biashara yake, anajumlisha na gharama au matumizi ndio anapata bei ya bidhaa.
Kwenye hili, hii kodi na VAT vitahamishiwa kwa mtumiaji. Kwahiyo kama ulikuwa unalipa elfu moja kutuma...
Mkuu Malisa,
Mahesabu yako yana walakini kidogo. Tangazo la rais jana limeongeza pato la mfanyakazi kwa shilingi sifuri mpaka 3,800 kwa mwezi.
Kama mfanyakazi ana mshahara wa zaidi ya 360,000 basi atapata ongezeko la pato la sh. 3,800. Kama mfanyakazi ana mshahara chini ya hapo basi ongezeko...
Mkuu,
Newcastle football club haina shareholders kwasababu inamilikiwa asilimia 100 na Ashley.
UK kuna sharia, ukifanikiwa kununua asilimia 77 ya shares, unaruhusiwa kuiondoa kampuni kwenye stock exchange.
Ukifanikiwa kununua shares asilimia 90 una uwezo wa kuwalazimisha asilimia 10 iliyobaki...
Newcastle inamilikiwa na Mike Ashley kwa asilimia 100.
Pia haiko kwenye stock exchange baada ya Ashley kununua share zote na iliondolewa kutoka London stock exchange tarehe 18 July 2007.
Kwahiyo haiwezekani Dau akawa na share Newcastle club. Hata kama alikuwa nazo basi alilazimishwa kuziuza...
Kwa kusaidia mjadala, hapa chini ni mishahara ya baadhi ya wakurugenzi wa mashirika ya umma nchini Uingereza ambao wanalipwa mishahara mikubwa kuliko waziri mkuu wao. Inasemekana kuna wafanyakazi wa serikali kama 250 wanalipwa zaidi ya waziri mkuu wao ambaye analipwa pounds 142,500 kwa mwaka...
Yehodaya,
Hulijui kabisa suala la northern Ireland. Pale ni sawa na Zanzibar useme wale wote wenye asili ya Tanganyika kule Zanzibar sio kwao na Zanzibar itake kurudi kuwa chini ya himaya ya Oman au iamue kujitenga lakini kujitenga huko kufanywe bila ya matakwa ya Wazanzibari wenye asili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.