Recent content by Mtanzania wa USA

  1. Mtanzania wa USA

    Huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwatapeli baadhi ya Watanzania

    Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala. Jamiiforum kimnya TBS...
  2. Mtanzania wa USA

    Bora nikae kimya milele kuliko kupigania haki ya Watanzania!

    SIO KWELI UNACHOANDIKA REKEBISHA
  3. Mtanzania wa USA

    Tigo wanashirikiana na matapeli kutapeli mawakala wao?

    Kama tigo, tumejitaidi kuboresha na kuimarisha mifumo yetu ya data base hivyo sio katika kusema Tigo inahusika na mfumo huu bali inatokea uwepo wa uzembe wa mtoa huduma kutozingatia sheria za kifedha na Electronic tunazo zitoa kila siku kuwa makini na utoaji huduma za kifedha.
  4. Mtanzania wa USA

    Kumtumaini Mungu ni kuishi katika ahadi zake

    SIO KWELI ULICHOANDIKA HAKINA LOGIC KABISA
  5. Mtanzania wa USA

    Ugonjwa wa homa ya ini unazidi kuongezeka, ukiupata sio rahisi kujua kama unao

    UGONJWA WA HOMA YA INI Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa. Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa ya ini akigusana na wewe lile jasho lake pekee unakuwa tayari usha upata tayari. Unaweza kuishi...
  6. Mtanzania wa USA

    Ugonjwa wa shinikizo la damu

    Huyu anaitwa Francves ndio jina lake halisi ni kuruta mstafu wa jeshi.....mwaka 2006 alikutwa na High Blood Pressure. So, nini maana ya presha ya juu ya damu acheni ujinga nafundisha masomo afu kushare haaa ! Ila kila siku doctor achia masomo... Presha ya juu ya damu hii ni mwnendo wa juu ya...
Back
Top Bottom