Recent content by mtanga255

  1. mtanga255

    Baada ya tendo akasema namchafua!

    Alipaswq kuwa fundi zaidi alipaswa kumvuruga na kumjua mwenzie Zaid hakuna mwanamk dunian asiependa kuridhishw.
  2. mtanga255

    Baada ya tendo akasema namchafua!

    Apa naona ulishindwa kutumia kile kitabu cha buza nafkr Kaulitz zke hujazielew vzr km unafny kl kt n anasm ivo badil maandiko.
  3. mtanga255

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    PROFESIONAL: DRIVER EDUCATION: FORM 4 AGE: 34 EXPERIENCE: 7 YRS LOCATION: ANYWHERE
  4. mtanga255

    Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Samahani mkuu una maanishq mkoa au mazingira ya kazi....kama ni mkoa ni dar es salaam.
  5. mtanga255

    Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Asante mkuu ila Kwangu sitaweza kwa hiyo pesa.
  6. mtanga255

    Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    bajaji ya abiria bajaji ya abiri a mkuu.
  7. mtanga255

    Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya bajaji mimi niko tayari. Nipo dar Hesabu wiki 100,000/= Mkataba wiki 140,000/= MAWASILIANO 0617562823
  8. mtanga255

    Hiace ya hesabu inahitajika

    nipo dar kwa sasa ila eneo la kazi litakuwa tanga kwa kuwa nina uzoefu n huko
  9. mtanga255

    Hiace ya hesabu inahitajika

    asante kaka kwa ushauri
  10. mtanga255

    Hiace ya hesabu inahitajika

    hamna mkuu nimetoa hesabu sahii kulingana na mzunhuko wa kibiashara wa eneo husika unaweza nipangia hesabu yako na nisitimize makubaliano mwisho wa siku ukaniona sio mfanyaji kazi nakuletea usumbufu.
  11. mtanga255

    Hiace ya hesabu inahitajika

    ndio mana nataka mtu ambae anayo mkuu tanga gari nyingi unazo ziona ni za undugu na urafiki na hata ukipewa ujue mda wowote utapokonywa akija mtoto wa shangazi.....kikubwa nahitaji mtu serious ambae nitakuwa huru kufanya kazi mda wote.
  12. mtanga255

    Hiace ya hesabu inahitajika

    Habari wanazengo,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ni dereva,ombi langu kwenu nahitaji gari aina ya hiace ya hesabu iwe kwa mwezi au wiki na itatumika tanga mjini kama daladala hesabu yake kwa siku ni 35,000. kwa mtu aliye tayari na yuko tayari kwa biashara hii tunaweza...
  13. mtanga255

    Nahitaji Noah ya mkataba

    ni kweli ndugu wengi hushindwa na ni kweli ndugu wengi wanachukua kitu bila kwanza kupanga mikakati thabiti ya kuweza kurudisha pesa wanacho angalia ni biashara ya mda mfupi ya nyakati hizo,ila kwa mimi mpaka nimeomba gari ni kwamba nishajua nini naenda kufanya na kazi zangu sio za kuchosha...
  14. mtanga255

    Nahitaji Noah ya mkataba

    sina dhamana ndugu ila haya ni makubaliano yatakayo fata taratibu zote za kisheria
Back
Top Bottom