Recent content by mtanga22

  1. M

    JamiiForums Tanzania NDUGAI kuwasamehe Upinzani: Washauri wameona mbali sana

    pale mbowe hakupaswa kukataa kutii amri ya kiti ya kukaa chini km alikua na hoja na malalamiko ziko njia nyingne za kuwasilisha km hoja ni kutoendelea na mjadala ule tayar kiti kilishafuata kanuni kura za kuhoji zilpokataliwa aliitisha kura ya kichwa na matokeo yameonesha hvyo. Pia kiti...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

    jana nilikwenda mombasa asubuh kufka boda wakakagua kibegi chagu wakakuta shati 1 na kikaango cha vitumbua, mimi ni mpishi kulikua na harusi so nilikwenda pika jioni nikarud ila pale nigongesha paspot nakaa wiki 1 so ikawa kosa mbona umekuja asubuh na kurud jioni afisa uhamian akauliza wafanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    duu si shahawa wataalam wanasema hata kwa kugusa ngozi au majimaji ya mwenye navyo. Ni vzuri ukitaka sex mkapime kila maradh ili kujiweka salama laa sivyo ukikosa ukimwi kuna saratani
Back
Top Bottom