Recent content by Mtandika One

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Mleta mada una ID lukuki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof.Maghembe Mlango Uko Wazi Tunaomba Utoke Tu Imetoshaaaa

    Ukiona hivyo ujue dawa inawaingia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Tadayo nani anamtoka huyo mla pesa za kanisa na mshiriki mkuu wa EPA? yaani huyu akikutana na Kileo ni kama vile Kileo anasukuma mlevi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Acha unafiki, mwanga hakuna mahala panaitwa makanya wala hendaru. Ukiwa unatunga ngonjera uielewe vizuri isikuumbue kama hivi. Futa comment yako haraka kabla sijakuvua nguo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Ndiyo mtamjua baada ya uchaguzi kuwa anakitu ama hanakitu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Tulia acha unafiki hii laana ya waume za watu itakumaliza.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Bora umewaambia ukweli kabisa wajue hawawezi kushindana na lile jembe. Kumshinda kileo mwanga ni ndoto isiyooteka. Wakamuulize baba yao maghembe kileo ni nani atawaambia habari zake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Wilaya ya Mwanga afukuzwa kwa mawe

    Wanabodi: imezuka hali ya taharuki kati ya mkurugenzi wa wilaya ya Mwanga na wanakijiji wa kijiji cha Lwami. Ugomvi huu umesababishwa na halimashauri kwenda kumwaga taka kwenye kijiji hicho na kugeuza kijiji hicho kuwa Dampo la uchafu. Hali hiyo imempelekea mkurugenzi kwenda eneo la tukio na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa hujuma za Kinana mkoa wa Kilimanjaro wanaswa

    Kumbe ndiyo maana maghembe anazunguka huku na yule mtia nia wenu anajiita Dr Ngoma? Mwanga tutaongozwa na kamanda mmoja tu ambaye tunamjua wote... hawa wengine tulijua mapema wapo kwenye kazi maalum. Huyo kinana anajisumbua anakuja kuchukua mzoga??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro chavunjika Mwanga

    Wakuu muda huu kuna kikao kinaendelea hapa Mwanga baina ya mkuu wa mkoa na wenyeviti wote wa vitongoji na vijiji. Mbunge wa Mwanga anayemaliza muda wake baada ya kuvurunda na yeye alikaribishwa kwenye kikao hicho. Alipopewa nafasi ya kusalimia Bwana Maghembe alianza kuishambulia CHADEMA na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Akileta ukada tunaleta ukamanda
  12. M

    JamiiForums Tanzania GUNINITA: Simuachi Makonda pamoja na u-DC wake, Kortini lazima

    Wacha wafu wazikane
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makatibu wa mikoa CHADEMA kutikisa Jimbo la Mwanga kwa wiki mbili mfululizo!

    CCM mwaka huu mtapigwa kila kona, mmekaa mkafikri anayeweza kuuzima moto uliyowashwa na Kileo Mwanga ni Kinana?? Sasa kinana ndiyo ataenda kujua mziki wa kileo ulivyomnene. Tena hapo anaenda kumchokoza patakuwa patamu sana Mwanga na mkae mkijua wapare wakigeuka wamegeuka
  14. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Hatakama ni uteuzi wa rais ila unaweza kupingwa kwa migomo mbalimbali haiwezekani taasisi nyeti kama hii kudhalilishwa kiasi hiki.
Back
Top Bottom