Recent content by mtamaushi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Flora mbasha a.k.a madam Flora anamajibu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

    Usalama
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Hawa yakuza mob nasikia ni hatar sana mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichonipata Malta ni zaidi ya Ukraine, siku 18 za kufa na kupona

    Kwani umetumwa utoe mrejesho? Ungekausha tu sio kutupotezea muda tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Siku niliyokamatwa napiga punyeto na bro: Wakati nipo shule o-kevel hakuna kitu nilikua nakichukia kama club za masomo. Nakumbuka ilikua kila alhamisi, kilichokuwa kinanifanya nisipende ni maswali mengi kutoka kwa walimu na viongozi wa club husika yaani unapigwa maswali mbele ya madogo na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Mkuu ile hela ininiuma kinomaaa sikuwa na namna zaid ya kufanya mbinu za kuirudisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Part 2 Siku ile baada ya kudhurumiwa niliumia saana sana hasa kwa kuwa hela haikuwa yangu pia hali ya uchumi mtaani kugumu. Basi bwana, kufika jioni dogo akanichek kupata mrejesho wa betri lake, ikabidi nimwambie yule jamaa kafunga kaenda msibani so atarud after siku tatu na kununua sehemu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Namalizia hapa dakika 15 urudi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Siku niliyodhurumiwa 100,000. Baada ya kumaliza chuo jijini mwnza mwaka 2016 nkaamua nibaki mwanza nijichanganye mtaani coz nyumbani hakuna dili na ukichek ajira hakuna kabisaa. Nilikua na dogo langu moja linafanya kazi geita aliniagiza nimnunulie betri ya laptop yake, dogo alinipa laki moja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Asante mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kesho ntaleta kisa cha kudhurumiwa 100,000 na wale wanaochezesha bahati nasibu lilipokuwepo soko kuu mwanza. Kwa uchungu nilimlia timing mhusika mmoja nkarudisha hasara, ila timing ilichukua siku kama 20 hivi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kisa cha kununua dada poa. Miaka kadhaa nyuma kipindi nasoma chuo mwanza nilishikwa na ukame balaa na ukichek nilikua mtu wa aibu kiasi. Nikaamua nimchek mshaji wangu mmoja wapi naweza pata huduma ya kupunguza uzito a.k.a dada poa. Jamaa akanielekeza chimbo, chimbo lenyewe ni uwanja wa ccm...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kutokwa shahawa mwishoni napokojoa ni ugonjwa au?

    Gono hilo katibiwe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu mbaya za mapenzi: Mpenzi wangu kuchumbiwa na Mwanaume mwingine

    Mape.. mapee... Mapeee....mapenzi mabaya
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kuna wale wajinga wanachezesha bahati nasibu utakuta wamefunga jukwaa wamejaza tv, redio, pasi nk, washenzi saana, naleta kisa soon
Back
Top Bottom