Recent content by Mtamasia

  1. Mtamasia

    Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Poa pooa
  2. Mtamasia

    Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Poa poa
  3. Mtamasia

    Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Mfano wa samaki changu
  4. Mtamasia

    Uzi maalum wa kutambuana professional zetu kwa atakae taka

    Mimi ni mfanyabiashara wa mafuta ya nazi jumla na rejareja na pia najiusisha na uuzaji wa dagaa kutoka tanga Kwa mawasiliano zaidi - 0672844844 0620655665
  5. Mtamasia

    Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni shilingi 6500 Napatikana kwa mawasiliano no 0672844844 NIPE DILI
  6. Mtamasia

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta connection ya kuuza mafuta yanazi
  7. Mtamasia

    Natafuta mtambo mdogo wa kutengeneza mafuta ya nazi

    Inategemea na wingi wa nazi,kama 5-10 masaa ya 6 tu unapata mzigo ila jua liwe kali
  8. Mtamasia

    Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Kujipaka mwili mzima na hayachagui rika kuanzia mtoto mwenye siku adi mzee,pia unaweza pikia chakula chako
  9. Mtamasia

    Natafuta mtambo mdogo wa kutengeneza mafuta ya nazi

    Lile tui unaliweka juani
  10. Mtamasia

    Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

    Unajua garama za uzalishaji mzee
  11. Mtamasia

    Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Tatzo ni koneksheni tu kaka na watu ao,mi huwa nawauzia watu wa majumbani tu wakupika na kupaka
  12. Mtamasia

    Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Ni miaka boss na ukipata bei nzuri utakula maisha,kunambegu nyingine nazi haikomai kma izi za kiswahili
  13. Mtamasia

    Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Serekali haikuachi salama ata kidog na apo ukiweka dukani tra ao
  14. Mtamasia

    Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Labda ununue shamba boss kupanda mnazi adi uvune ni mwaka kwa izi mbegu zetu za sasa,mi ni mkazi wa tanga kwaiyo mafuta yangu natengenezea tanga ambapo najua maligafi ni raisi kupata kwa wakati na bei inapungua,
Back
Top Bottom