Unaonekana ulikimbia darasani kabla ya kumaliza elimu ya msingi. Nakushauri urudi tena angalau umudu stadi muhimu za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu ili uweze kueleweka kama mtu aliyefika angalau darasa lá Saba. Kinyume na hivyo Laana Maturubai itaendelea kukuandama
Ingawa taarifa haijazama ndani kiufundi, lakini nampa 'bigup huyo mbunifu kwa kuthubutu. Kwani kisayansi tunasema kila tokeo la kiubunifu huachia 'gap' la kuendelela ubunifu zaidi. Hivyo hata hao waliotengeneza hizo mita wanatarajia some criticism kutoka nje ambazo zitaimarisha wazo lao la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.