Recent content by Mtakanini

  1. Mtakanini

    Natafuta mchumba, location - Songea town.

    Sio kila mtu ni domo zege kama ufikiriavyo...hii ni nafasi muafaka ya kumpata mchumba aliye na nia ya dhati kama mimi ili hatiamye wote tufikie malengo yetu na kujenga familia yenye upendo na kufurahia ndoa kwa pamoja....kama huna cha kuchangia kaa kimya mkuu..!
  2. Mtakanini

    Natafuta mchumba, location - Songea town.

    Ndio hivyo tena....watu wana wivu sana mchumba sijui hawapendi uwe nami au vipi...naona huyu jamaa macho yamemtoka kwa wivu..lol...atuache na mambo yetu bana...lol..!
  3. Mtakanini

    Natafuta mchumba, location - Songea town.

    Sasa my dear kama haupo songea na upo serious then itabidi uwe flexible kuhamia songea, kama upo tayari kwa hilo nadhani itakuwa poa sana so that we can move on ending with our marriage mission. Regards, Mtakanini.
  4. Mtakanini

    Natafuta mchumba, location - Songea town.

    Namaanisha mwanamke-kabila la Mnyamwezi
  5. Mtakanini

    Natafuta mchumba, location - Songea town.

    Wapendwa JF Members; Natafuta mchumba....Mwanamke/Binti au msichana mwenye sifa Plse...:- 1. Awe na Umri miaka 18....hadi....30. 2. Awe hajawahi kuolewa na kuachika 3. Elimu ....form four ....up to Master degree only if you have PhD we must discuss it in deep before next stage.. 4.Sichagui...
  6. Mtakanini

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    well said mkuu, si unakumbuka toka wamuangushe kwa kifafa pale jangwani....sheikh yahaya akaawa anamlinda sana....so baada ya sheikh yahaya kuokota kikapu...jamaa amekuwa akihangaika sana kutafuta wa kumlinda...madhara yake ndo haya...hadi anamwita bibi toka msimbati aende magogoni kwa kuwatumia...
  7. Mtakanini

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    wanaogopa kufa ..wamakonde soio wa kuwafanyia masihara mkuu
  8. Mtakanini

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    haingii akilini kuona gesi inasafirishwa toka mtwara hadi dar/bagamoyo na kufua umeme.....inamaana huo umeme kwanini usifuliwe huko mtwara na kusupply mikoa mingine!! serikali ya jeikei ni sawa na kichwa cha mwendawa.imu!
  9. Mtakanini

    Mwanaume aliezaliwa 1978, 1977,1976, 1975,1974,1973,1972,1971,1970

    acha utani mkuu wakati dada wa watu yupo serious
  10. Mtakanini

    Msaada wa haraka...Doctors PLSE!

    Toka jana jioni nahisi maumivu kwenye Dudu yangu...nikiwa nakojoa nahisi maumivu japo sio makali sana. Nahisi huenda itakua ni U.T.I (urine infection disease), naomba kama kuna mtu amewahi patwa na tatizo kama hilo au anaijua dawa ya U.T.I aniambie ili nikimbilie Phamacy. NB: Am still single...
Back
Top Bottom