Recent content by Mtageamos

  1. Mtageamos

    Waziri Ndalichako: Imebainika wanafunzi 2,619 walisajiliwa vyuo viwili tofauti huku wakilipwa mikopo

    Naamini atafanya kitu kwenye elimu maana ni balaa! Nlimsikiliza kwenye kipindi cha dakk 45 na sam mahela kwakweli mama yupo vyema na tunaamini sasa degree itathaminika sio mtu alikua na ziro mnakutana wote mmevaa joho[emoji35][emoji35]
  2. Mtageamos

    Ishi maisha ya Furaha, Ntuyabaliwe na mzee Mengi

    I just love their couple jamani kiroho safi!!
  3. Mtageamos

    Ishi maisha ya Furaha, Ntuyabaliwe na mzee Mengi

    Love doesnt ask why! I think they love each other
  4. Mtageamos

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    Mie naona mtoa post ndo anataka kukuza haya mambo na kuleta machafuko yakidini, barua hio haina hata muhuri kuwa na sahihi hapo mtu yeyote anaweza kuandika hebu acheni kukuza mambo yasiyo hata na tija kwa jamii siasa isitufanye tuingie kwenye migogororoo
  5. Mtageamos

    Lowassa na agenda ya umasikini

    Yaani mimi issue ya elimu tu!! Hata mtoto wamkulima alijisemea wazi tunamshukuru Edward kwakusimamia vyema shule za kata zikajengwaa haraka maana mkoa wangu wa iringa ulikua unaongoza kwakutoa mabeck tatu! Beee sasa hivii hawaji kufanya kazi ng’oooo wote wanaenda shuleeee najua shule zakata...
  6. Mtageamos

    Wakati makada wa CCM waliotangaza nia wakiiteka nchi, Edward Lowassa aongoza kwa kuanguka

    Yaani wagombea wote hamuwaoni ila anaeonekana ni Lowassa peke yake?? Kweli mti wenye matunda ndo unatupiwa mawe! Maana kila kona Lowassa, ukienda ista lowassa, fb lowassa huki lowassa duuhh!! Watanzania kweli mnampenda!! Eehhh!! Mungu sikia kilio.cha hawa watu wqnamtaka Lowassa awe rais wao...
  7. Mtageamos

    Sintofahamu ya idadi ya wadhamini urais

    Na bado nadhani hio fungakazi ya darsam mtazimia kabsa maana wadhamini tutakua zaidi ya mikoa yoteee , huyo lowassa anawatesa sanaa jamani maana kama kachukua fom pekee yake kila mtu lowassa, hata hao wagombea wengine Hija udkubwa ni lowassa
  8. Mtageamos

    Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

    Inaonekana Lowassa anawanyima wengi sana usingizi maana kila kukicha jina lake lipo midomoni mwenu!! Na badooo subirini
  9. Mtageamos

    Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Lowassa ameonesha kuikomboa nchi hii, tuache Propaganda
  10. Mtageamos

    Viongozi wa dini waiweka Serikali pabaya kuhusu Katiba Mpya

    Hii katiba haitakiwi ipigiwe kura kipindi hiki cha uchaguzi yaani yatakiwa tusubiri uchaguzi uishe maana kwa sasa tutapata madudu sio katiba turekebishe tume ya uchaguzi mambo yaendeleee vinginevyo kazi ipoo udini utatumaliza
  11. Mtageamos

    Nitaitumia vema haki yangu kikatiba kuipigia kura ya HAPANA katiba pendekezwa - mwana CCM

    Namaanisha namsona sehemu anazosimamia jao bado kura ni siri na kila mtu anauelewa tofauti japo kuna vitu sivikubali ndani ya rasimu inayopendekezwa na pia hili swala la katiba sio swala la chama ni swala la nchi sasa hata kupiga kura hatupigi kichama tunapiga kwakuzingatia ni wapi nchi yetu...
  12. Mtageamos

    Nitaitumia vema haki yangu kikatiba kuipigia kura ya HAPANA katiba pendekezwa - mwana CCM

    Jabla hujatushawishi tuseme hapana ni vyema ukatupa udhaifu unaodhani twatakiwa tuukatae kuliko kutushawishi tuseme hapana kwakua wewe unasema hapana twambie sababu ambayo unadhani twatakiwa kusema hapana ichambue tushawishi kwa hoja na si kwakugeneralize kama ulivyofanya
  13. Mtageamos

    Tujadili katiba Mpya pitia hapa usiache.

    Kura ni siri ya mtu
Back
Top Bottom