Recent content by mtabiri2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    ukiwa upinzani nahisi hakili huwa zinapungua kidogo sababu hats jambo la msingi wao wanapinga tu, wanashindwa kumpinga mbowe kwa kumuondoa slaa, nasasa chama kinakufa hivihivi. pole sana upinzani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliidangaya CHADEMA?

    tatizo watz tuna iq ndogo sana, all in all kampigie kura umpendae ili ujute miaka 5
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muzimu utakaoimaliza ukawa, viongozi wanaujua ila hawaufanyii kazi.

    suala la kuwa na wagombea wawili au zaidi kutoka ukawa kwa ngazi ya ubunge na udiwani ni hatari sana kuzidi hata ripoti ya twaweza, kiufupi viongozi wanalijua ila wanashindwa kuchukua maamuzi, wakilenga kupata kura za urais tu bila kuangalia madhara kwa ubunge na udiwani. kuna methali inasema...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    mzarau mwiba mguu huota tende
Back
Top Bottom