Huo ndio urafiki sio kusifia tu kwenye media.
Hapo nyuma kulikua na kundi kubwa la wasani wa kiafrika kumsifia sana Didy kwamba ni mtu poa sana anasaidia na kuinua wasanii.
Kwasasa yupo kwenye matatizo wasanii wote mmepiga kimya.
Kama hamta tenda wema kwa mwenzenu naninyi mtaanguka tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.