Recent content by MT KILIMANJARO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola kuchukiwa na askari, ukweli wawekwa hadharani. Huenda wanyonge wakakumbuka utawala wake

    mimi nilishalikataa kitambo hao wanyonge sijui ndiokina nani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

    Kama vile namuona yule afande anavyomsubiri pale segerea akampatie chumba chake. pole sana Kangi na karibu segerea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Tatizo hawa voingozi wanapokua madarakani wanahisi wao ndio pekee wenye nguvu na mamlaka ndani ya nchi hii.mahalani mzee kangi alitumia jeshi la police kama mali yake anaweza kuamrisha makamanda mara toka nje ya kikao lkn leo wale aliokua anawaamrisha hawapo tena upande wake sasa ndio hao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Akifika magereza lazima wamuambie kata mauno mzee
  5. M

    JamiiForums Tanzania DAR: 73 wadakwa kwenye msako wa wizi wa magari na vifaa

    Kama wako serious basi waende pale tabata dampo kuna wezi sana na vifaa vyote vya wizi viko pale
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini waliokamatwa juzi wameachiwa kwa dhamana

    Utamu wa rambirambi lazima upitie mikononi mwako. hahahahaha mamlaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Ingetakiwa hawa polisi wetu wakaguliwe vyeti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Ukimtandika na mpini lazima waimbe parapanda italia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Unamanisha waliweka unga wa ngano badala ya cement
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Hakika una hoja ya msingi hapa tujitizame yoga in
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kwa hili yuko sawa, ITV jirekebisheni

    Kwanini vijana wa lumumba Hanna akili kiasi hicho nan aliyewaloga
  12. M

    JamiiForums Tanzania Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    W Wewe ndio punguani kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Mpigiwa KULA ashasema alichukua form mwenyewe nakujichagua mwenyewe msimpangie
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azindua barabara ya Shimo la udongo

    Mmmh nasikia Kawa Dr Makonda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Unataka nae akimbilie Smith nini
Back
Top Bottom