Recent content by Mswahilimnoo

  1. Mswahilimnoo

    JamiiForums Tanzania Pale binti anapoyachezea maisha na kuja kujuta mwishoni

    Hii ni katiba inapaswa kutundikwa ukumbini kwa kila mwanaume ambae hajaoa.
  2. Mswahilimnoo

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    acha tutumie mechi ya simba na yanga kama kipimo cha kufahamu wale wachezaji, MUTALE[ sifa ya winga wa kisasa ni take downs kwenye 1v1 sio kukimbilia kwenye kibendera na huyu SGR anayo hii ] AHOUA [ namba ngumi ambayo haina touch nyingi za hovyoo hapoozeshi mshambulizi na namba zake zinajieleza...
  3. Mswahilimnoo

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Tulivyokua tukisajili wachezaji wenye uzoefu, tuliambiwa tunasajili wazee sasa hivi timu ya maskauti imejitahidi kufanya kazi vizuri na kuleta wachezaji wenye umri mdogo na vipaji tunaambiwa tumesajili wachezaji ambao hawana uzoefu. Nimeamini ukiwa shabiki wa amphibia utashindwa tu kuuzungumzia...
Back
Top Bottom