Recent content by Mswahili mahiri

  1. Mswahili mahiri

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari Nnashahada ya mioango na usimamizi wa mazingira na pia nimejitolea katika mashirika binafsi kwa miaka minne 4 Pia nnaujuzi wa vitu vifuatavyo 1.project planning and management 2.monitouring and evaluation 3.Proposal writing 4.data collection and analysis 5. Resoirce mobilozation...
  2. Mswahili mahiri

    Umuhimu wa mikopo isiyo na masharti magumu kwa vijana

    Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama muhitimu wa chuo kikuu ambae badi nipo mtaani nilitamani kuina taasisi mbalimbali za kifedha zikitoa...
  3. Mswahili mahiri

    SoC01 Umuhimu wa kuwa na ajira

    Jamani kwakweli minniwambie tu ukweli ni kua ikitokea nimeshinda hizo hela kutoka story of change zitanisaidia sana kujiajiri maana hapa nilipo sielewi kesho yangu ikoje ukiona nnafaa kushinda hizo pesa au kifaacha kielekroniki we nipigie kura itanisaidia sana kufanya nichange maisha yangu nanwa...
  4. Mswahili mahiri

    Umuhimu wa mikopo isiyo na masharti magumu kwa vijana

    Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama muhitimu wa chuo kikuu ambae badi nipo mtaani nilitamani kuina taasisi mbalimbali za kifedha zikitoa...
  5. Mswahili mahiri

    SoC01 Elimu ya juu na Umasikini

    Tafadhari tupitie na hii wadau
  6. Mswahili mahiri

    SoC01 Elimu ya juu na Umasikini

    Habari wanajukwaa leo nitazungumzia suala la Elimu ya juu na umasikini hasa kwa vijana. Tunaelewa kua elimu ilipewa maana mbalimbali wwngine wakijaribu kusema kua elimu ni mwanga, Elimu ni ufunguo wa maisha na wengine wamefika mnali na kusema elimu ni kichocheo cha maendeleo. Nimevutiwa...
  7. Mswahili mahiri

    SoC01 Umuhimu wa taarifa sahihi na kilimo chenye tija

    Tafadhari soma hii na kuipigia kura
  8. Mswahili mahiri

    SoC01 Umuhimu wa taarifa sahihi na kilimo chenye tija

    Kilimo kama tunavyo fahamu ni moja ya sekta ambayo inagusa maisha ya zaidi ya asilimia 70%waishio mijini na vijijini nchini Tanzania. Na kama tunavyoelewa uchumi wa wakazi wengi waishio maeneo ya vijijini umejikita zaidi katika shughuli za kilimo moja kwa moja hivo linapo kuja suala la...
Back
Top Bottom