Kutokana na kuporomoka kwa MAADILI na utovu wa nidhamu ulio kithiri mashuleni,vyuoni na jamii kwa ujumla ni wazi sasa serikali inalazimika kuliweka Somo la ELIMU YA DINI mashuleni na vyuoni kuwa ni LAZIMA kama njia ya kupambana na CHANGAMOTO hizi
ELIMU YA DINI
hili ni Somo ambalo litakuwa...
Kwa sasa kumekuwa na mmomonyoko mkubwa sana wa MAADILI hapa NCHINI ikiwa ni pamoja na Matumizi mabaya ya mitandao Kama kuweka picha na video chafu mitandaoni, ukahaba, umalaya, Matumizi ya madawa ya kulevya,ukatili wa kijinsia, Matumizi mabaya ya madaraka,ubadhilifu, utakatishaji Fedha, uhujumu...
Kwa kuwa Serikali ina mpango wa kutoa bima ya afya kwa kila Mtanzania nimepata wazo la namna bima hyo inavyoweza kufanyika kwa kutumia TOZO ZA MUDA WA MAONGEZI,kwa kuwa idadi kubwa ya watanzania wanamiliki LAINI za simu hivyo nashauri yafuatayo:
1. Serikali iweke tozo mpya katika muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.