Recent content by Msonga Reli

  1. M

    Chenge anaongoza kwa kuchukiwa na Watanzania wengi nchi nzima

    Ni vigumu. Anajua siri yote ya Kikwete kuukwaa uraisi kwa wizi wa kura, hila na ghilba. Halafu amwondoe, patachimbika!
  2. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    Je, mzee wa watu Samweli Sitta, kajichokea ataiweza wizara hiyo? Treni ya Mwakyembe, vp itaendelea au?
  3. M

    Kikwete 'anampinga' January for President 2015'?

    Who is January Makamba to be trusted by Kikwete to the full ministerial post?
  4. M

    Mbunge wa CCM ambaye hajawa Waziri katika serikali ya JK......

    Mh. Kigwangallah, a.k.a Saidi Bagaile ambaye katumika sana na Mengi kumtukana Muhongo kwa kumwita 'profesa muongo' kwa kutarajia kupewa uwaziri, anajuta kuukosa. Radhi ya kumtelekeza baba yake mzazi inamtafuna. Kikwete kamtosa, hafai. Ajifunze kwa George Simbachawene, yeye anawajali wazazi wake...
  5. M

    Huyu comrade Insa Kaisi ameishia wapi?

    Mbona kasahaulika, a rotten lot?
  6. M

    Serikali ya Tanzania Yalifungia Gazeti La The East African

    =Kikwete hataki kukosolewa. Anataka sifa tu, basi. Salva Rweyemamu, Muhingo Rweyemamu, Premi Kibanga nk wengine waliifanya kazi hiyo ya kumpamba leo wanaula. Wameuza utu wao kabisa. Sasa hivi si waandishi tena, ni mbwa wa Kikwete. The East African na ----------- mafichua siri, yamefungiwa...
  7. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Sitta, Mwakyembe wabadilishiwa Wizara

    == Uwaziri utafaa nn? Mwezi wa kwanza aliyeteuliwa atafanya lipi Watanzania waone mchango wake? Mbona Mwakyembe katolewa uchukuzi, hakufanya vizuri? Mary Nagu, waziri miaka yote hii toka wakati wa Nkapa baba; kwa nn? Naye Tyson, vp?
  8. M

    Kwa mara nyingine Waislam kutumika tena kama mtaji wa CCM 2015

    ==Ni waislamu wasiojielewa tu ndio huipigia kura CCM. Mimi, binafsi sijawahi kuipigia kura ccm kwa muda mrefu sana. Nasikia Kikwete aliwaita Ikulu masheikh wa Bakwata na wengine kama Sheikh Ally Basalehe, Sheikh Musa Kundecha na kuwapa mamilioni ya pesa wamchague. Ndiyo maana akaambulia kidogo...
  9. M

    Tanganyika irudi, Zanzibar inaanza kukata mbuga

    Tanganyika yetu, wapi?
  10. M

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    ==Lowasa hafai. Apumzike, ale pesa zake alizoiba. Amuogope mungu..!
  11. M

    Gharama ya ziara ya Prof Muhongo Mkoani Mara ni kufuru

    ==hizo ni pesa za escrow account
  12. M

    Uchaguzi serikali za mitaa, polisi waua nzega: Kigwangalla ataka hatua kali zichukuliwe!

    ==UNAJIFUNZA NINI KWENYE SAKATA HILI? Mtoto kumnyanyasa baba yake? Mimi sijaona wala kusikia tu. Liko kwa Saidi tu anayejiita dk.kigwangalla! Asiyefunzwa na mama, hufunzwa na ulimwengu.
  13. M

    Uchaguzi serikali za mitaa, polisi waua nzega: Kigwangalla ataka hatua kali zichukuliwe!

    Nimesema jina la Hamisi Andrea ni feki. Hawalifahamu nyumbani kwao. Wanamfahamu kwa Saidi Nassor, ila Kigwangalla sawa, hilo maarufu. Mbunge, miaka minne sasa baba yake na mama yake wanataabika kweli? Baba yake mzazi mzee Nassor Kigwangallah ninaye mfahamu, hana hata mkweche tu wa kutembelea...
  14. M

    Uchaguzi serikali za mitaa, polisi waua nzega: Kigwangalla ataka hatua kali zichukuliwe!

    Hivi karibuni tu, nikiwa Tabora mjini kwa mihangaiko yangu ya maisha, nilibahatika kukutana na ndugu mmoja wa Dk. Kigwangalla kutoka Kigwa. Alisikitika sana na kuonesha mshangao nilipomtajia habari za mbunge wa Nzega Dk. Hamisi A. Kigwangalla. Akasema kwanza jina hilo halijui. Kwani Jina lake...
  15. M

    Uchaguzi serikali za mitaa, polisi waua nzega: Kigwangalla ataka hatua kali zichukuliwe!

    Je, ni kweli dk kigwangalla ni shujaa anayestahiki kukabidhiwa madaraka? Iwapo ubunge tu umemzuzua, hamjali mtu yoyote; anajivuna na kuwaona watu kama watwana wake. Amefikia hadi kutowajali hata wazazi wake; hawahudumii kwa lolote, kawatelekeza. Mtu kama huyo anafaa kupewa uongozi? Tafakari kwa...
Back
Top Bottom