Kashfa kwenye Jeshi la Polisi imekuwa ni Jambo la kawaida, na ukifanya utafiti utagundua ni chombo kisichoaminika na inatuhumiwa kwa rushwa, ubakaji na ulawiti. Kila baya polisi.
Je, sababu ni nini?
Pamoja na ukosefu wa maadili, lakini masilahi ya polisi ni duni mno, mishahara kidogo, tena...
Resettlement scheme ni Jambo la kawaida. Alafu mtoto unapompeleka Shule ni kwa faida yake mwenyewe na Kama ipo ya mzazi ni kwa uchache Sana, akiwa mtoro mbona unatumia nguvu kumlazimisha aende Shule? Si unajua kuwa Jambo linafaida Ila kwa wakati huo mwanao hajui, Ila itafika wakati atakitambua Hilo.
Wakati mwingine zipo tujue Kuna agenda ya kitaifa, lazima tuitazame na kuijadili kitaifa na sio kisiasa. Tunakosea Sana, kiongozi kwenye agenda ya kitaifa anaweza kukosea approach, lakini malengo yakawa mazuri lakini ukosoaji usiwekwe kwenye sura ya kisiasa. Alifanya Lisu kwenye sakata la...
Ujinga wenu nyinyi baadhi ya wasomi wa humu mmekuwa walaji wakubwa wa Western propaganda on Africa. Kika taarifa inayotolewa na media za Magharibi munaziamini ni za kweli na zinawatetea waafrika. Huu no ukoloni mamboleo wa dhahiri shahiri.
Kwa taarifa yenu wamagharibi wamewekeza Sana kwenye...
Wewe ni mzalendo. Hata wenzetu walioendelea wamewekeza Sana kwenye Technology ktk taasisi zao. Haya yote ni kutokana na maswala hayo.
Lakini pia tusisahahu kuwa tinahitaji mabadiliko makubwa Sana ya kiutamaduni, hasa kwenye eneo la ukweli na uwajibikaji. Mifuko nayo Kama itakuwa inaendeshwa na...
Kaka kwenye dharula huwa Kuna hatua lazima zisiwe na nguvu . Marekani Wana namna ngumu ya kupitisha bills zao. Lakini wakati wa septer 11 Sheria ya kupambania na ugaidi ilipitishwa haraka Sana kwa kuruka baadhi ya step, kwa kuwa tukio lile lilikuwa dharula na lilitishia ustawi wa amerika na...
Sisi wakulima kwa korosho ni msimu wa 3 mfululizo hatujui pembejeo dukani inauzwa Bei gani? Wakulima wa mounga na mahindi walau Sasa tuna uhakika na Bei ya mazao yetu. Ni muda huu mbaazi na ufuta vimevuta vijana wengi huku kusini mwa Tanzania kuliko wakati wa mkenda. Sasa tunachanganyikiwa...
Kwa kipimo kipi Cha uzuri wa mkenda, kwa kuua zao la mahindi kwa kuzuia wafanyabiashara wa nje kuja kununua? Kuua mounts kwa kuzuia wateja wasije kununua? Mkenda hakufanya lolote kwenye kilimo, Bora hata Bashe anajaribu, anaweza kuwa na mapungufu yake, lakini so kwa picha hii inayojaribu...
Mbona hii ni video ya Siku nyingi munawekaje hapa Kama evidence ya sakata la sukari la juzi. Lakini so Hawa Hawa tulikuwa tunawabeza kutokuwa na msimamo na walikuwa wananongwa kumridhisha bosi wao wa wakati huo? Sasa je hamuoni hata hizi kauli zaie zilikuwa Zina mridhisha bosi yule, na hasa...
Kaka pitia taarifa ya bodi ya sukari kwenye press ya leo, yapo Mambo utajifunza. Kaka Mimi ni mkulima wa kawaida huku Newala Ila najifunza kuwa baada ya Jambo kutokea usitoe judgement ya Mapema. Maneno yakishatamkwa hayawezi kurudi Tena mdomoni. Ziko hoja Zina mashiko lakini wale jamaa ni Kama...
Kaka unachanganyq mada, yule mzee ni mzalishaji wa sukari na hakuna mkulima wa miwa aliekuja kwenye ile press. Sasa mbona tunaongelea kitu ambacho hakipo pale. Kwani Kuna sehemu serikali imezungumzia kuwa hawatazalisha sukari ndani au wale watu wasizalishe. Issue ilikuwa ni gap sugar na namna...
Tatizo lako wewe ni kuona kila Jambo ni la kiuchaguzi tu. Kwahiyo wewe ndio kiziwi zaidi maana hutaelewa, lakini usilazimishe uelewako kwa Watanzania wote. Sisi tunaakili timamu tunajua kutazama Mambo jwa jicho la tatu. Na sio wewe utulishe mitazamo yako hiyo haikubaliki. Unafikiri kwanini Hadi...
Kabisa hiyo ni Cartel, ndio hoja yangu hapo. Wao ni sawa tu na OPEC na wanafanya Yale Yale ya OPEC, Wana cutt production ili kutengeneza shortage na kuongeza Bei kupata supernormal profit. Ni Yale Yale waarabu wanafanya kwenye mafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.