Kweli watoto wanakaa chini, je zamani walikua wanakaa wapi?? Ndugu Magufuli sio malaika na hawezi leta mabadiliko kwa cku mja wala miaka 5. Hii Taifa ilkua imekua shamba la Bibi na kila mjinga alikua anafanya uwiZi waa hali ya juu. Magu kiboko kwa mwendo huu baada ya miaka 7 tutakua mbali sana.
Rushwa bado ipo, na sio Tz2 hata USA ipo, tuna Kazi kubwa sana lakujenga Taifa hili. Tujiulize sisi kama wananchi tunafanya kipi kupigana na rushwa?? Ukienda sehem ukakuta foleni hata kama ulikua wa mwisho utanza kuwaza kuchakachua na kushawishi watu ili uwe wa kwanza na usepe. Mimi namini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.