Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

Hapa tunazungumzia mazuri yake ,kuhusu hayo mabaya hatuyakatai ila anzisha uzi wako ili sisi tunaopenda mazuri yake yusije huko kwa mnaowazia mabaya yake
Hana zuri lolote. Ana roho mbayaaaa tena ya uharibifu kila anachogusa KINAENDA KOMBO, Amebaki kupoteza tu roho zisizo na HATIA
 
Ni janga kubwa la Taifa na ni mtu hatari sana kwa mustakabali na mshikamano wa Watanzania. Ameamua kudharau katiba, mahakama, Bunge na sheria za nchi mbali mbali ikiwemo sheria za manunuzi Serikalini. Ameshachota hazina zaidi ya trillion 2 bila idhini ya Bunge. Hafai huyu DU hafai hata chembe.

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

1. In my opinion I think he has brought back Rispect in our country because now money has value and only those who work hard can get it these days.
2. We don’t have traffic jam like before because a single family could drive 4 or 5 cars even if they workes on the same place.
3. Government offices are very much performing and they have shown us that they care.
4. Government Hospitals are better now and caring for the sick ones,
5. All government agencies are performing very well and ok for the civilians.
The list goes on and on if you have more share with us...
 
That is very true and the rate of killing innocent Tanzanians will continue. He is very dangerous person for the future of our beloved country.

He gas done nothing mpuuzi huyu rather than killing us
 
1. Katununulia bombadia 3
2 .Katudaia mibilion kule acacia

Bombadia zimekamatwa Canada, hayo sio mafanikio. Aliyetushtua kampiga risasi.

Kudai hela za acacia sio kupata. Kadanganya kwamba jamaa wamekubali kulipa. Kasema uongo pale ikulu na macho makavu bila aibu.
 
Wewe unafanya kazi na kujituma ??

- Hivi kuna mtu anaefanya kazi na kujituma anaupenda utawala huu ?

- Jitu limekaa sebuleni kwa shemeji limenyoosha miguu kwenye meza ya vioo linapiga porojo tu Kumsifia MAGU kwa ujinga mtupu
Aise hio lugha tafadhali!!
 
Bombadia zimekamatwa Canada, hayo sio mafanikio. Aliyetushtua kampiga risasi.

Kudai hela za acacia sio kupata. Kadanganya kwamba jamaa wamekubali kulipa. Kasema uongo pale ikulu na macho makavu bila aibu.
Mkuu niko upande wako naongea kinafiki
 
Kwani hapa ni Comparison kati ya Zee la Viwonder VS MBOWE ??
basi niseme hata brother k ana sura mbaya lakini anachekesha ,maana kila kitu siasa kwako,narudia hapa mazuri tu ya zee la viwonderful
 
basi niseme hata brother k ana sura mbaya lakini anachekesha ,maana kila kitu siasa kwako,narudia hapa mazuri tu ya zee la viwonderful
Halina zuri lolote.

- Hata kile lilichofanya tukadhani ni jambo jema, kumbe lilikuwa na nia mbaya
 
Mkuu baniani mbaya kiatu chake dawa.
Hilo unawaambia kina nani ?

- Walioko makaburini sasa kwa kupigwa na kuuawa bila hatia ?
- Wazazi waliopoteza ndugu, jamaa na watoto wao kwa kuuliwa bila hatia ?
- Watumishi wanaotishiwa amani na kufukuzwa kazi kama njugu huku wakinyimwa haki yao ?
- Vijana waliomaliza vyuo na ajira hakuna ?
- Watu wanaopigwa risasi mchana kweupe peee ?
- Wafanyabiashara wanaobanwa na kubambikwa kodi kubwa halafu ZEE LA VI-WONDER linagawa kama njugu kama PEDESHEE
- Au unamaanisha WALINZI/VIBARUA wa migodi walioumwa na MBU miaka 10 wakitegemea watapata MAFAO yao angalau WAFUNGUE Kimradi, pesa zao WAMEDHULUMIWA na ZEE LA VI- WONDER, halafu linatumia PESA Nyingi KUHONGA kina MTULIA Walisifu, Chaguzi za MARUDIO, Uwanja wa ndege CHATO, na waliokamata BOMBARDIER wakati WANAVYUO hata MIKOPO Wanakosa ????
 
Nawaambia wale
1.Waliokuwa wananyanyaswa kwa rushwa iliyokithili enzi za JK
2.Watoto waliokuwa wanaa kaa chini kwa kukosa madawati
3.Wanawake ambao waume waliota mbawa kwa mapoato machafu enzi za JK.
4.Wagonjwa Mhimbili
E.T.C
 
Nawaambia wale
1.Waliokuwa wananyanyaswa kwa rushwa iliyokithili enzi za JK
Kwani rushwa imekwisha, au jamaa anao watu wake wa pekee tu anaopenda wachukue na kutoa rushwa ?
- Jamaa lina roho mbaya mpaka linatamani POLISI ( Hawa Waliruhusiwa kuchukua PESA YA KU-BRUSH viatu ), NYETI, BASHITE & Co. ndo wachukue na kutoa rushwa.

2.Watoto waliokuwa wanaa kaa chini kwa kukosa madawati
Kweli hii nchi ya VI-WONDER, kwahiyo hakuna MTOTO anaekaa chini kwa sasa ?
- Madarasa yenye wanafunzi 300 per class wote wana MADAWATI ?, Au kwa kuwa vyombo vya habari vimetishwa HAVIONESHI Uhalisia ??

3.Wanawake ambao waume waliota mbawa kwa mapoato machafu enzi za JK.
Hili nalo ni KIPAUMBELE cha nchi ??
4.Wagonjwa Mhimbili
E.T.C
Wagonjwa MUHIMBILI wanafanyaje, maana mimi nasoma hapa ?
 
Nawaambia wale
1.Waliokuwa wananyanyaswa kwa rushwa iliyokithili enzi za JK
2.Watoto waliokuwa wanaa kaa chini kwa kukosa madawati
3.Wanawake ambao waume waliota mbawa kwa mapoato machafu enzi za JK.
4.Wagonjwa Mhimbili
E.T.C

Wagonjwa bado wanapelekwa India kwa surgery za miguu, hatuwezi bado ata kutoboa tezi dume, Tanzania bado ina import IV fluid, Tanzania bado haina mikasi ya kukata uterus fibroids za wanawake.

Watoto bado wanakaa chini across the country na rushwa kama unadhani imepungua you are not living in this country.
 
Magufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa.
Swali muhimu kwa sasa ni je Magufuli hajatekeleza kipi kinachohusiana na ahadi na ilani ya CCM?

Je ulimsikiliza msemaji wa Serikali jana?
...Bombardier yetu iliyoshikiliwa Canada...million 50 kijijini kwetu....vyerehani 4 kiwanda...
 
Back
Top Bottom