Recent content by Msoma D

  1. M

    Mh. Pinda anaposhindwa kujibu maswali mepesi

    hii haiingi akilini kuwa katibu mkuu atoe tamko la kumrudisha huyo jairo bila idhini ya mkuu wa nchi
  2. M

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    hii inaonyesha nchi hii inawenyewe kwani jambo hili alimwiingi kichwana mzalendo yeyote,huyu hapa pana siri kubwa na ndoo maana huyu bwana hakuwa na wasiwasi ,je watanzania wenzangu tutakuwa mbumbu mpaka lini? sasa ni wakati umefika wa kuchukua maamuzi magumu ili tuweze kujenga nchi yetu
Back
Top Bottom