Russia is big super power, jamaa wako vizuri kivita,,,, so watu na USA sio wajinga wanamjua vizuri mrusi,,,,,, hapo USA itabidi atulie tu maana sidhani kama Trump atapata support ya Congress na wamarekani kuingia vitani na nchi kama Russia ambayo ni big nuclear state,,,,