Recent content by msolopagaz 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Operesheni UKUTA: Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

    "Sisi"...! Wewe unaamwakilisha nani zaidi ya nafsi yako?!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Mbona hakuna jipya hata moja hapa ? Watajirudia rudia Hivi Mpaka lini Jamani Hawa wenzetu? Mbona hawatoi tamko la mgawanyo wa ruzuku Kwa UKAWA ? Mbona hawasemi Ni lini watapeleka report ya matumizi ya uchaguzi mkuu..??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu maazimio ya Kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA

    Natumaini pia watatolea tamko haya 1. Ni lini watawasilisha Gharama za uchaguzi Kwa msajili wa vyama. 2. Utaratibu wa mgawanyo wa ruzuku ndani ya UKAWA Hii Ni mijimu maana inahusu fedha Za walipa kodi wa nchi Hii .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu maazimio ya Kikao cha Kamati kuu ya CHADEMA

    Kwa siku nne walikuwa busy wana "Edit" hotuba Za Rais Magufuli Na Mh Majaliwa pamoja na matukio mbalimbali ya CCM ili wapate cha kuongelea angalau wasikike. Hawana Tena sera zao na kukaa kimya kwao Ni dhambi kubwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitahamishia Serikali yangu Dodoma - Waziri Mkuu aanzisha safari..

    Wewe una usingizi , kakojoe ukalale.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Magufuli kuondoka Dar ni kama "The Great Trek" ya Makaburu wa Kidachi(1835-1846)

    This is the most ridiculous post I have seen in this forum....! Uamuzi wa tangu 1973 ambao unaenda kakamilishwa sasa unahusishwa na UKAWA iliyozaliwa Mwaka Jana Tena kutokana na hofu ya kushindwa uchaguzi mkuu ...??? Kweli mmevurugwa na sasa hata vitu vya kusema hamvifikirii Tena...... Shame on...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnamsingizia Lowassa kila kitu ili muonekane wasafi, je hili ni la nani?

    Waliochangia wako huko Chadema, unawajua maana wameshika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo ugavana wa bank kuu hadi mawaziri wakuu Kwa miaka 12 mfululizo...!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Kiholanzi wapewa kazi ya kuimaliza CCM kwenye Mahakama ya ICC

    Endeleeni na Njozi za mchana tu.... Inasikiliza kesi za uchaguzi...!!!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kaa chonjo

    Huyu failure mkubwa amesimamia Serikali Kwa muda mrefu kuliko mwaziri mkuu yeyote....!!! Leo anawaambia watu hakufanya kitu...! Then anasema wakae chonjo...... Nonsense....,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kaa chonjo

    Ameshapitishwa kugombea uenyekiti wa kibaha..?!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kazi ya Sumaye ndani ya upinzani alotumwa na CCM ikiisha atarejea kama kina Msindai

    Duh..! Hivi ndoto haziishi tu...!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Hebu uliza hili swali kule Kwa wazungusha mikono usikie majibu....!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nilifanya biashara yenye faida na Magufuli

    Na kuwa na mzazi Kama Kingunge na Sumaye ... Ni heshma au ?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Lazima Kingunge anasikitikia kitendo cha kunadili gear ....
Back
Top Bottom