Ilani ya uchaguzi CHADEMA inaleta matumaini. Ni muda dhahiri kwa CCm kujiandaa kuondoka madarakani. Si vyema kuifanyia nchi majaribio, lakini kila jambo la heri huja na heri, na jambo jipya na la manufaa, mwanzo wake ni watu wapya na wachache. Tujitokeze tarehe 31.10.10 tupige kura za ndiyo kwa...