Hii inawezekana kutokea hili jambo linaweza kubadilika ghafula kikooteo kina udhi balaa, sheria ya vyama vua siasa. Sasa hivi kama hawapo vile kama ameua wote lkn wayafufuka tu.
Inaudhi kusikia mtu kanyinwa haki kumbe hata "a" hajui, kusema amesahauliwa kumbe tukio lilikuwa kwa jirani yake. Tuwaache na maneno yenu ya kudai hata msichostahili. Hata mkipewa, dhambi hii hamuiachi itawala mpk mwisho mtabaguana koo na koo, mpk shehe na shehe mwenzake. Hata wenyewe kwa...
Mnaochochea na kutafuta chokochoko zisizo na faida za udini ni mashetani wazi mmejiandaa kunywa damu za Watanzania wasio na hatia. Huwezi kuwa muuguzi kama haukufunzwa kutibu hauwezi kuwa mwalimu kama haujaenda shule tabia zenu za kukimbia shule ndy maana hata huyo mchochezi amekalia hayo tu...
Ukizaliwa kwenye neema hata ya kuiba haki za wengine huwezi kujua msiba wa mtwana. Mwenye akili wewe uliyesoma wewe unayejua kuongoza wewe wengine hawafai usidhanie watoto wako watanufaika na porojo unazofaidi leo. Cdm ni maisha ya vizazi vyetu na ndiyo nchi yetu ardhi yetu madini yetu kwa watz...
Kizazi cha Nyerere na Wazee wetu kilikuwa na uzalendo kilijali utu, sisi tutasfiwa kwalipi anayetetea chama tawala wakushangaa haiji akilini kabisa kwa kutetea uozo uliopo katika ngazi zote za serikali inayoongozwa na chama hiki. Tumieni busara hata ya makalio kujua kuwa tunahitaji watu wenye...
Mbona huyu anamaisha mazuri tu afya safi. Kama nitatizo basi limeanzia kwa Wazazi au Walezi, hakuna shule, hakuna mahitaji ya msingi... Wenye kujaza mahitaji ndiyo ujira wao lkn huyu anaonekana ana Mr. wake ndiyo maisha ya vijiji vyetu
Cha kushangaza mijini wapo walioanza kupata ujauzito kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.