Wanajamvi,
Ama kweli likupigalo ndiyo likufunzalo. Jana wananchi wa Muheza walimuita mtia nia mmoja wa CHADEMA, Mwl Ernest Msingwa wakamueleza mikakati yao kuwa safari hii wamechanga pesa ili mtia nia atoe gari yake ifungwe vipaza sauti na kuhamasisha watu wakajiandikishe na zoezi hilo...
huu sio muda wakuishi kwa matumaini kutamanishwa vitu ambavyo hatuwezi kuvipata tunataka kusikia vitu vya uhakika ambavyo vinatekelezeka kama alivyokuwa akitueleza Rais Dr Slaa
kaka no research no right speak CHADEMA Walifanya chadema ni msingi wakiwa wanamaanisha chama kufika hadi ngaz ya kitongoji na mimi ni mwenyeji wa wilaya ya muheza Tanga tuliweza kufanya hivyo na chama kipo hadi katika vitongoji
ACT ni chama cha msimu na ukitaka kuamini hilo ngoja october ipite kama utakisikia tena na CHADEMA hatuwezi kushindana nao, mtoto wa plastic haoti moto
mimi nadhqni unafikiria kwa kutumia tumbo maana hakuna kipindi ambacho chadema iko vizuri kama kipindi hiki nakihakikisha hilo ni matokeo ya uchaguzi wa serikali ya mtaa
Wakuu sitachoka kuwapa yanayojiri Muheza kila kukicha, jana wabondei wa kata ya Mkuzi ambako kiuhalisia kuna wale wabondei haswa yaani kindakindaki jana waliwaita viongozi wa CHADEMA wa wilaya ya Muheza na kuwaomba wawasaidie kuondoa janga la maji ambalo kwao imekuwa kero kuu.
Kiongozi mmoja...
hivi ulitegemea Mtanzania waliandikie mema ukawa?Mtanzania mi la Bashe na Bashe ni wa Rostam na Rostam ni wa Zitto wa ACT Wazalendo na ACT ni branch ya CCM unategemea nini litokee?
Wakuu nimeamini kuwa akiingia hata mjumbe mmoja kwenye serekali ya kijiji anatosha kabisa kuwanyoosha maccm, mjumbe waserikali ya kijiji cha Tanganyika kata ya Tanganyika wilaya ya Muheza kupitia CHADEMA bwana Michae Mhina Mguhi ameweza kuibua ufisadi uliofanywa na mwenyekiti pamoja na mtendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.